huyo jamaa ni pimbi.Mbona serikali imeahorisha mitihani ya form six ilikua may pia, vyuo na kadhalika. Yaani ratiba ya mitihani ndio iweke maisha ya watanzania hatarini kiasi hicho? Kwani hiyo mitihani haiwezi kufanyika wakati mwingine?
Hoo sio hoja kabisa. Maisha na afya ya watanzania kwanza, mitihani na masomo yatakuja baadae.
Itakuaje iwapo watakutana darasani halafu mmoja ametoka kukutana na muathirika wa corona bila kujua?
Wewe kama mźalendo uliwashauri nini
Jasmine khaleed [emoji7][emoji7]Hawa ni wapuuzi .. Jmn[emoji23][emoji23][emoji23] sasa inamaana wao awapo kwenye mikusanyiko
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe utakua Ni dereva..au secretary si kwa roho mbaya hii
Wewe utakua Ni dereva..au secretary si kwa roho mbaya hii
Wewe ndio una roho mchafu ndani yako!Wewe utakua Ni dereva..au secretary si kwa roho mbaya hii
Acheni kutukanana basi. Leteni hoja zenye mantiki. Kama wanaendesha semina hakika wanakosea sana .Wewe ndio una roho mchafu ndani yako!