Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Live your life ndugu kuna watu wanamateso hata hiyo korona wanatamani kupata ile iwaletee unafuu wa maisha. Nikuambie tuu hakuna kazi ngumu kama kuongoza maskini usione magufuli anaomba aombewee kuna mengi yanamsibu na bahati mbaya wanaoongozwa wala hawajali.
 
Mbona serikali imeahorisha mitihani ya form six ilikua may pia, vyuo na kadhalika. Yaani ratiba ya mitihani ndio iweke maisha ya watanzania hatarini kiasi hicho? Kwani hiyo mitihani haiwezi kufanyika wakati mwingine?

Hoo sio hoja kabisa. Maisha na afya ya watanzania kwanza, mitihani na masomo yatakuja baadae.

Itakuaje iwapo watakutana darasani halafu mmoja ametoka kukutana na muathirika wa corona bila kujua?
huyo jamaa ni pimbi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada
Umekurupuka

Waziri mkuu alisema wale ambao bado wanaendelea na mitihani wakimaliza waondoke mara mmoja

Sasa kama wanafanya mitihani unataka waache?

Hivi nyie huwa mnasikiliza taarifa za habar au huwa mnakimbilia jf?
 
Hawa ni wapuuzi .. Jmn[emoji23][emoji23][emoji23] sasa inamaana wao awapo kwenye mikusanyiko


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ushamba mwingi watu wanavaa mask mara mi-gloves mkononi like its a Fashion.

Mi nasongesha game kibishi Never Fear the Feared
 
Mr Big,
Hukumsikiliza vizuri, alisema waondoke. Ndio maana hata saut cha mwanza walikua kwenye mitihani ila wameambiwa watamalizia watakapotangaziwa kurudi. Kesho kila mtu aanue vilago vyake aondoke.

Lakini pia nbaa hawako kwenye mitihani, wako wanasoma kujiandaa na mitihani.
 
mlakimtoto,
Corona ni mafua kama mafua mengine kama ukishaelewa dalili zake haikusumbui ukiipata unawahi hospital kujiweka karantini
 
March 18, 2020

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mh.Eng. Isack Kamwelwe atoa tamko kufuatia Coronavirus Codvid18.

Tamko hilo la waziri Isack Kamwelwe linahusu sekta ya usafiri wa barabara, reli, anga na majini linataka wenye vyombo vya usafiri na watumiaji kuchukua tahadhari kubwa kufuatia ugonjwa huo.



Source: Global TV online
 
Nimestushwa kusikia Taasisi kadhaa za Umma wakiwemo watumishi wa OR-TAMISEMI NA wizara nyingine wakiendelea na vikao katika maeneo kadhaaa morogoro.
 
Back
Top Bottom