Wewe mgonjwa wa corona tokea lini umejitambua mpaka uwe na ujasiri wa kumkosoa mtu? wewe ni mvuta Bangi huna Akili za kukosoa cha yeyote na kama CCM wanakutegemea uwatetee mitandaoni wamebugi sana kwani unawaibisha kwa hoja zako za kishamba sanaHiyo video clip ya miaka nyingi nyuma mnadanganywa msiojitambua.
Hata wapumbavu hapa Jf wapo wengi wanaopinga kila kitu kisa ni kimetamkwa na watawala.Hata hapa JF wajinga hao wako wengi tu wanaoshangilia kila kitu kisa tu knafanywa na watawala.
Kumbe wewe una watetea Chadema? Mimi ni mtz ninayejitambua siyo minyoo! Mtu unajiita minyoo! Una akili wewe kweli?Wewe mgonjwa wa corona tokea lini umejitambua mpaka uwe na ujasiri wa kumkosoa mtu? wewe ni mvuta Bangi huna Akili za kukosoa cha yeyote na kama CCM wanakutegemea uwatetee mitandaoni wamebugi sana kwani unawaibisha kwa hoja zako za kishamba sana
TUSITISHANEWATANZANI TUEPUKE UJINGA
Tuzuie mikusanyiko wenyewe
Watumishi Makanisa Misikiti nyumba zote za Ibada mmeona kilichotokea Italy Iran South Korea IBADA zimewafanya wengi kuambukizwa
Umoja wa Mataifa utakuja kuwafungulia viongozi wengi duniani kwa kuwapotosha watu wao wakaangamia kama nzige
Russia nako kiongozi wao ana fikra potofu sasa kuna Doctor amerudi toka Italy mgonjwa sana kabla ya kuanza kuugua amefanya vikao amekutana na watu wengi hofu iliyopo sasa watu wengi wataanza kuugua itakuwa Italy imehamia Russia. Amefunguliwa mashtaka yupo hoi kitandani akipatikana na hatia miaka mitano au zaidi jela inamhusu
Huku kwetu tunaambiwa twende kanisani misikitini kuabudu na kuomba shetani corona atoweke!
Are serious na maisha ya watu kweli
Tuna kiongozi sijui mtawala aliyekosa uelewa sijui atatambua hatari hii lini?
Wazazi wetu wakipoteza maisha kwa sababu ya Corona ' we will sue you'
Tatizo la CCM wamewapa Tenda ya mabilioni Le mutuz na cyprian Musiba ya kuandaa watu wa kuitetea CCM mitandaoni matokeo yake wameenda kuokoteza wavuta Bangi akina UCD kuja kusumbua watu badala ya kujenga hoja za msingiHata wapumbavu hapa Jf wapo wengi wanaopinga kila kitu kisa ni kimetamkwa na watawala.
Hoja mfu sana hii,papa ndo nani,nakwanini asikilizwe yeye na si rais Magufuli au madaktari tulokuwa nao nchini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi mtaondoka na ngoma au malaria siyo corona ya wazungu!Tushamstukia sasa hivi kwa wapinzani ni kujilinda na corona bila kufuatisha matamko ya wana ccm na huko makanisani hakuna haja ya kwenda kabisa na misikitini
In God we Trust
...mkuu anasema tunatishwa Sana! ivi hawaoni Italy wanavyopukutikaWATANZANI TUEPUKE UJINGA
Tuzuie mikusanyiko wenyewe
Watumishi Makanisa Misikiti nyumba zote za Ibada mmeona kilichotokea Italy Iran South Korea IBADA zimewafanya wengi kuambukizwa
Umoja wa Mataifa utakuja kuwafungulia viongozi wengi duniani kwa kuwapotosha watu wao wakaangamia kama nzige
Russia nako kiongozi wao ana fikra potofu sasa kuna Doctor amerudi toka Italy mgonjwa sana kabla ya kuanza kuugua amefanya vikao amekutana na watu wengi hofu iliyopo sasa watu wengi wataanza kuugua itakuwa Italy imehamia Russia. Amefunguliwa mashtaka yupo hoi kitandani akipatikana na hatia miaka mitano au zaidi jela inamhusu
Huku kwetu tunaambiwa twende kanisani misikitini kuabudu na kuomba shetani corona atoweke!
Are serious na maisha ya watu kweli
Tuna kiongozi sijui mtawala aliyekosa uelewa sijui atatambua hatari hii lini?
Wazazi wetu wakipoteza maisha kwa sababu ya Corona ' we will sue you'
Utanyooka tu wewe Minyoo!Tatizo la CCM wamewapa Tenda ya mabilioni Le mutuz na cyprian Musiba ya kuandaa watu wa kuitetea CCM mitandaoni matokeo yake wameenda kuokoteza wavuta Bangi akina UCD kuja kusumbua watu badala ya kujenga hoja za msingi
Minyoo na Ugonjwa Corona Dhahiri UCD ni kipi hatari kwa sasa? wewe ni mwehu kwani mimi na wewe hutafanani kwa hoja na ndiyo maana nimekupa kirefu cha jina lako pengine kwa ufala wako hukuwa unajua kirefu cha UCD ni Ugonjwa corona dhahiri, sasa Ugonjwa umekuingia kichwani umeacha hoja na kuleta vurugu lakini kubali ukatae lengo lenu tumewashitukia mapemaKumbe wewe una watetea Chadema? Mimi ni mtz ninayejitambua siyo minyoo! Mtu unajiita minyoo! Una akili wewe kweli?
Naunga mkono ibada za mikusanyiko zisimame kwa muda.
Kipondo lkn hapo walichotoaHiyo video clip ya miaka nyingi nyuma mnadanganywa msiojitambua.