Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Hiyo video clip ya miaka nyingi nyuma mnadanganywa msiojitambua.
Wewe mgonjwa wa corona tokea lini umejitambua mpaka uwe na ujasiri wa kumkosoa mtu? wewe ni mvuta Bangi huna Akili za kukosoa cha yeyote na kama CCM wanakutegemea uwatetee mitandaoni wamebugi sana kwani unawaibisha kwa hoja zako za kishamba sana
 
Mlisema hapa hapa leo mchana,
Mlikuwa mmekosa kick ya kuanzia na mkaanza kulalamika kwamba JPM hataki kuongea na sasa kaongea tayari mmeanza kick zenu.

Mtaongea sana na hadi 2025 sijui mtakuwana hali gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mgonjwa wa corona tokea lini umejitambua mpaka uwe na ujasiri wa kumkosoa mtu? wewe ni mvuta Bangi huna Akili za kukosoa cha yeyote na kama CCM wanakutegemea uwatetee mitandaoni wamebugi sana kwani unawaibisha kwa hoja zako za kishamba sana
Kumbe wewe una watetea Chadema? Mimi ni mtz ninayejitambua siyo minyoo! Mtu unajiita minyoo! Una akili wewe kweli?
 
WATANZANI TUEPUKE UJINGA
Tuzuie mikusanyiko wenyewe
Watumishi Makanisa Misikiti nyumba zote za Ibada mmeona kilichotokea Italy Iran South Korea IBADA zimewafanya wengi kuambukizwa

Umoja wa Mataifa utakuja kuwafungulia viongozi wengi duniani kwa kuwapotosha watu wao wakaangamia kama nzige

Russia nako kiongozi wao ana fikra potofu sasa kuna Doctor amerudi toka Italy mgonjwa sana kabla ya kuanza kuugua amefanya vikao amekutana na watu wengi hofu iliyopo sasa watu wengi wataanza kuugua itakuwa Italy imehamia Russia. Amefunguliwa mashtaka yupo hoi kitandani akipatikana na hatia miaka mitano au zaidi jela inamhusu

Huku kwetu tunaambiwa twende kanisani misikitini kuabudu na kuomba shetani corona atoweke!

Are serious na maisha ya watu kweli
Tuna kiongozi sijui mtawala aliyekosa uelewa sijui atatambua hatari hii lini?

Wazazi wetu wakipoteza maisha kwa sababu ya Corona ' we will sue you'
TUSITISHANE
 
Hata wapumbavu hapa Jf wapo wengi wanaopinga kila kitu kisa ni kimetamkwa na watawala.
Tatizo la CCM wamewapa Tenda ya mabilioni Le mutuz na cyprian Musiba ya kuandaa watu wa kuitetea CCM mitandaoni matokeo yake wameenda kuokoteza wavuta Bangi akina UCD kuja kusumbua watu badala ya kujenga hoja za msingi
 
Tushamstukia sasa hivi kwa wapinzani ni kujilinda na corona bila kufuatisha matamko ya wana ccm na huko makanisani hakuna haja ya kwenda kabisa na misikitini

In God we Trust
Nyinyi mtaondoka na ngoma au malaria siyo corona ya wazungu!
 
WATANZANI TUEPUKE UJINGA
Tuzuie mikusanyiko wenyewe
Watumishi Makanisa Misikiti nyumba zote za Ibada mmeona kilichotokea Italy Iran South Korea IBADA zimewafanya wengi kuambukizwa

Umoja wa Mataifa utakuja kuwafungulia viongozi wengi duniani kwa kuwapotosha watu wao wakaangamia kama nzige

Russia nako kiongozi wao ana fikra potofu sasa kuna Doctor amerudi toka Italy mgonjwa sana kabla ya kuanza kuugua amefanya vikao amekutana na watu wengi hofu iliyopo sasa watu wengi wataanza kuugua itakuwa Italy imehamia Russia. Amefunguliwa mashtaka yupo hoi kitandani akipatikana na hatia miaka mitano au zaidi jela inamhusu

Huku kwetu tunaambiwa twende kanisani misikitini kuabudu na kuomba shetani corona atoweke!

Are serious na maisha ya watu kweli
Tuna kiongozi sijui mtawala aliyekosa uelewa sijui atatambua hatari hii lini?

Wazazi wetu wakipoteza maisha kwa sababu ya Corona ' we will sue you'
...mkuu anasema tunatishwa Sana! ivi hawaoni Italy wanavyopukutika
 
Tatizo la CCM wamewapa Tenda ya mabilioni Le mutuz na cyprian Musiba ya kuandaa watu wa kuitetea CCM mitandaoni matokeo yake wameenda kuokoteza wavuta Bangi akina UCD kuja kusumbua watu badala ya kujenga hoja za msingi
Utanyooka tu wewe Minyoo!
 
Kumbe wewe una watetea Chadema? Mimi ni mtz ninayejitambua siyo minyoo! Mtu unajiita minyoo! Una akili wewe kweli?
Minyoo na Ugonjwa Corona Dhahiri UCD ni kipi hatari kwa sasa? wewe ni mwehu kwani mimi na wewe hutafanani kwa hoja na ndiyo maana nimekupa kirefu cha jina lako pengine kwa ufala wako hukuwa unajua kirefu cha UCD ni Ugonjwa corona dhahiri, sasa Ugonjwa umekuingia kichwani umeacha hoja na kuleta vurugu lakini kubali ukatae lengo lenu tumewashitukia mapema
 
UCD vuruga mada uwezavyo lakini chadema wamewashitukia mbinu zenu mapema hata uje na nini hakuna wa kukusikiliza
 
Mlikua mnaaita imekuja halafu mnakuwa wakwanza kuiogopa tena. Hee.
 
Which is which?
 
Attachments

  • FB_IMG_1584886572583.jpg
    FB_IMG_1584886572583.jpg
    26.8 KB · Views: 1
CCM hawataki chadema wafanye mikutano i mwezi ujao wapo tayari hata kuleta Ebola kimpindupindu kishirikiane na corona wapate sababu ya kuzuia mikutano yote
 
Weka Clip tusikilize wenyewe,tahadhali za ugonjwa zinatofautiana/zitaendelea hivyo kati ya nchi/bara,kuzingatia mambo kadha wa kadha.mfn.hali ya hewa,idadi ya watu,nakusema kweli,safari hii mpaka rangi ya ngozi.zetu.Nilikuwa Kanisani kweli kuna maelekezo toka.Vatican lakini hayako vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom