chakubanga kasubiria hadi nyoka ameingia ndani..
kinga ni bora kuliko tiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo hapa sasa ndo nondo uko vizuri mkuu hongera kwa maandishi yenye mantiki
CHADEMA wakifanya mikutano tu ndio kutakuwa na Corona, ila ligi kuu kuendelea watu hawawezi kupata hiyo Corona? Huko kwenye nyumba za ibada hakuna mikusanyiko, ila Corona inasubiri tu cdm wakusanyike?
Ni hatu mzuri. Vyama vingine viige mfano huu.
Hawaogopi CHADEMA bali wanaogopa upumbavu wao. Mpumbavu usimpe nafasi wala kumchekea. Lazima ushughulike nae kila kona! Hongera jeshi la magereza kwa kutoa kipigo saaafi kilichonyooka kwa wapumbavu.
Mikutano na maandamano viko palepale mwezi ujao, tunasikilizia tu hilo janga la corona. Safari hii hakuna kusubiri kibali sijui kutoka wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wao walikuwa wanafanya mikusanyiko bado maana vyama vingine wao wakikusanyika ni mabomu na kukamatwaKatibu wa uenezi wa CCM katoa taarifa hiyo kwa wana-CCM ili kukabiliana na Corona.
My take;
Wale wanachama wa chama cha Corona (CHADEMA) endeleeni kushawishi wanachama wenu ili wakapoteze maisha.
Dah...safi sana...safari hii..iwe mvua iwe jua..iwe usiku iwe mchana...afe punda mzigo ufike [emoji2960]Mikutano na maandamano viko palepale mwezi ujao, tunasikilizia tu hilo janga la corona. Safari hii hakuna kusubiri kibali sijui kutoka wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe ndo think tank ya chama cha corona basi Hamna kitu huko, umeandika nn sasa hapoYaani ccm wanaogopa ccm kuliko corona
In God we Trust
Mtakufa bure mumuachie jamaa ruzukuDah...safi sana...safari hii..iwe mvua iwe jua..iwe usiku iwe mchana...afe punda mzigo ufike [emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160
Kama wewe ndo think tank ya chama cha corona basi Hamna kitu huko, umeandika nn sasa hapo
Mtakufa bure mumuachie jamaa ruzuku
Hamlali mnamuwaza Trump tunafeli wapi watu weusi jamaniTutafanya mikutano tu ili mradi hatuvunji katiba ya nchi, wakati huo huo Trump anawachungulia ili mkifanya vyooko awatie adabu
In God we Trust
Hapo ndo uwezo wa kufikiri unakomea. Baba angu alale salama!Mpumbavu ni babako na mamako
In God we Trust
Angekuwa akili kubwa asingenyolewa!Wakati nyinyi mlificha na kuamua kukaa kimya mh Mbowe ni akili kubwa siyo kama hao wana futuhi wenu
In God we Trust
Kuna kusoma na kuelimikaLakini polepole SI nasikia kasoma mpaka chuo kikuu