Hadi sasa tuna taarifa rasmi ya mgonjwa mmoja. Wenzetu Rwanda wamesha fika 7. DRC hali kadhalika Kenya walikuwa watatu watatu juzi. Uganda nao tayari kama sisi wako na mgonjwa 1. Kwingine kote hali inazidi kuwa mbaya zaidi labda tu kwa China.
Ufaransa sasa wamefunga mipaka yao kabisa. Marekani hawaruhusu ndege toka ulaya, China na mataifa lukuki kuingia kwao.
Rwanda shule zimefungwa, mikusanyiko marufuku. Hakuna cha Michel, mazishi, makanisa wala misikiti. Kenya hali kadhalika shule zimefungwa na mipaka imefungwa kwa nchi zenye ugonjwa.
Ulaya matamasha yote be it mpira imesimamishwa, muziki, nk. Tunasubiri nini?
Ummy Mwalimu tunahitaji kusikia hatua madhubuti sasa. Hatua kama hizi zikija kwa kuchelewa wakati hali ni mbaya zaidi haitamsaidii yeyote.
Mataifa yaliyofikia hatua kali hizi ni mataifa ambayo hata kiuwezo (in all aspects) yametuzidi mno.
Ni wakati sasa wa kusitisha business as usual kwa muda tukaangalia kwanza upepo unaelekea wapi.
Atletico Coach Dies of Coronavirus in Regional Hospital of Malaga in Spain on Sunday
Fungueni masikio msikie na macho muone.
Tumechelewa lakini Mungu mkubwa tulikuwa bado hatujachelewa kabisa kabisa.