Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Yaani ccm wanaogopa CCM kuliko corona
CHADEMA wakifanya mikutano tu ndio kutakuwa na Corona, ila ligi kuu kuendelea watu hawawezi kupata hiyo Corona? Huko kwenye nyumba za ibada hakuna mikusanyiko, ila Corona inasubiri tu cdm wakusanyike?

In God we Trust
 
Mpumbavu ni babako na mamako
Hawaogopi CHADEMA bali wanaogopa upumbavu wao. Mpumbavu usimpe nafasi wala kumchekea. Lazima ushughulike nae kila kona! Hongera jeshi la magereza kwa kutoa kipigo saaafi kilichonyooka kwa wapumbavu.

In God we Trust
 
Katibu wa uenezi wa CCM katoa taarifa hiyo kwa wana-CCM ili kukabiliana na Corona.

My take;
Wale wanachama wa chama cha Corona (CHADEMA) endeleeni kushawishi wanachama wenu ili wakapoteze maisha.
Hivi wao walikuwa wanafanya mikusanyiko bado maana vyama vingine wao wakikusanyika ni mabomu na kukamatwa
 
Mikutano na maandamano viko palepale mwezi ujao, tunasikilizia tu hilo janga la corona. Safari hii hakuna kusubiri kibali sijui kutoka wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...safi sana...safari hii..iwe mvua iwe jua..iwe usiku iwe mchana...afe punda mzigo ufike [emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Haya yanatakiwa kutangazwa na wizara ya afya kama doctor Mkuu au waziri wa Afya
Tuache siasa kwenye mambo mazito kama Haya
Nchi zote duniani ushauri unatolewa na wahusika na sio vinginevyo



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Dah...safi sana...safari hii..iwe mvua iwe jua..iwe usiku iwe mchana...afe punda mzigo ufike [emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
Mtakufa bure mumuachie jamaa ruzuku
 
Tutafanya mikutano tu ili mradi hatuvunji katiba ya nchi, wakati huo huo Trump anawachungulia ili mkifanya vyooko awatie adabu
Mtakufa bure mumuachie jamaa ruzuku

In God we Trust
 
Tutafanya mikutano tu ili mradi hatuvunji katiba ya nchi, wakati huo huo Trump anawachungulia ili mkifanya vyooko awatie adabu

In God we Trust
Hamlali mnamuwaza Trump tunafeli wapi watu weusi jamani
 
Hadi sasa tuna taarifa rasmi ya mgonjwa mmoja. Wenzetu Rwanda wamesha fika 7. DRC hali kadhalika Kenya walikuwa watatu watatu juzi. Uganda nao tayari kama sisi wako na mgonjwa 1. Kwingine kote hali inazidi kuwa mbaya zaidi labda tu kwa China.

Ufaransa sasa wamefunga mipaka yao kabisa. Marekani hawaruhusu ndege toka ulaya, China na mataifa lukuki kuingia kwao.

Rwanda shule zimefungwa, mikusanyiko marufuku. Hakuna cha Michel, mazishi, makanisa wala misikiti. Kenya hali kadhalika shule zimefungwa na mipaka imefungwa kwa nchi zenye ugonjwa.

Ulaya matamasha yote be it mpira imesimamishwa, muziki, nk. Tunasubiri nini?

Ummy Mwalimu tunahitaji kusikia hatua madhubuti sasa. Hatua kama hizi zikija kwa kuchelewa wakati hali ni mbaya zaidi haitamsaidii yeyote.

Mataifa yaliyofikia hatua kali hizi ni mataifa ambayo hata kiuwezo (in all aspects) yametuzidi mno.

Ni wakati sasa wa kusitisha business as usual kwa muda tukaangalia kwanza upepo unaelekea wapi.

Atletico Coach Dies of Coronavirus in Regional Hospital of Malaga in Spain on Sunday

Fungueni masikio msikie na macho muone.

Tumechelewa lakini Mungu mkubwa tulikuwa bado hatujachelewa kabisa kabisa.
 
Back
Top Bottom