Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
Nyani Ngabu,
Bado wangeweza kusema daladala zisijaze watu vile zinafanya, inatisha ati Mkuu
Bado wangeweza kusema daladala zisijaze watu vile zinafanya, inatisha ati Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mvumilie penye msafara wa mamba kenge nao wamo.Sheikh gani kakusanya watu ili wapatie utajiri lini na wapi?
Nimesema waweke utaratibu kwenye.usafiri wa Umma, ungekuwa hata na akili nusu ya unazopaswa kuwa nazo ungeelewa mantiki ya hoja yanguKwani kuhusu usafiri wa umma unatakaje? Serikali imnunulie kila mwananchi usafiri wake au?
Siloam washasema wameifuta Corona kwenye uso wa duniaMuda umefika kwa serikali kusitisha makundi ya maombezi kama ilivyositisha makundi mengine, makundi haya huambatana na watu kuanguka na kugalagala chini vinginevyo hao manabii na mitume watakusanya watu ili kuwaponya na kuwakinga na Corona.
Kumbuka mleta mada ni shabiki wa chadema, na kama ujuavyo hawa ndugu zetu walivyo vichwani mwao.
Yani hapo point kubwa kwenye mada yake hii ni ili wakusanye waanze kumtukana yule mtu wao wanaemwitaga jiwe.
Tabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Shame!Hahaaaa yawezekana aisee 😄
Mimi mkigusa bia tu hapo ndiyo nitajua mnahitaji ugomvi usio wa lazima, maana nitaichukia CCM Kuzidi covid yenyewe
Acha akili hizo wewe, health guidelines zinazotolewa Kote Ulimwenguni wakati huu ni kwa ajili ya Watanzania tu?Watanzania wanataka kila kitu waambiwe sijui kujiongoza wenyewe hawawezi.
Miafrika tumejawa na uvivu sana wa kufikiriWatanzania wanataka kila kitu waambiwe sijui kujiongoza wenyewe hawawezi.
Wewe unaona basi limejaa lakini bado unapanda. Unategemea nini ?Bado wangeweza kusema daladala zisijaze watu vile zinafanya, inatisha ati Mkuu
Haya wewe usiye mvivu wa kufikiri katibu Sasa Corona, clueless idiotMiafrika tumejawa na uvivu sana wa kufikiri
Usiwe kama digidigi inaonekana bila serikali kukuambia ununue pedi utumie kwenye siku zako huwezi kununua.Acha akili hizo wewe, health guidelines zinazotolewa Kote Ulimwenguni wakati huu ni kwa ajili ya Watanzania tu?
Vizuri mkuumimi tayari nimeahirisha sisubiri matamko ya kisiasa
Wewe ni mbinafsi mno...unajifikiria mwenyewe kwa vile unakiSwift chako basi Unajiona Uko salama...kama Arteta kaambukizwa who are you? Complete idiotUsiwe kama digidigi inaonekana bila serikali kukuambia ununue pedi utumie kwenye siku zako huwezi kununua.
Kuna mambo hayahitaji muongozo wa serikali unajiongeza tu mwenyewe na kuona usalama wako. Halafu serikali ni watu sio Rais wala Waziri mkuu nyie watu mnapaswa kuwa na tahadhari kabla ya kusikia matamko ya viongozi sio ukae kulaumu serikali kuwa haijakuruhusu kujisaidia haja kubwa.