Idimulwa
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,944
- 2,459
CCM ndiyo kitu.gani jamaniCCM wanataka Ugonjwa usambae kwa kasi baadae watangaze kufuta uchaguzi mpaka mwakani
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ndiyo kitu.gani jamaniCCM wanataka Ugonjwa usambae kwa kasi baadae watangaze kufuta uchaguzi mpaka mwakani
Kwa mujibu wa Le mutuz msiri wa Bashite wana mpango kuziruhusu shule ziendelee na masomo lakini bado wanatafakari kwa undaniAmepotoka sana mkulu, kama ameweza kutoa order shule zifungwe na watoto wetu wasipate elimu, kanisani na misikitini kuna kipi cha ziada?
Gathering yoyote kwa sasa ni kosa kubwa na itakuja kuligharimu taifa.
Chukua chako mapema ndiyo kirefu cha kitu CCM
Kwahiyo.wapinzani.watakuwa wamekufa wote..kufikia.kipindi.hicho?!Lakini mbona.mtaani.watu.tunadunda tu?Le mutuz kampa jamaa taarifa kuwa kapata siri toka kwa Daud Bashite kuwa lengo la CCM kutowazua Wachina wazungu wageni wote ni kutaka wagonjwa wawe wengi hapo Nchini ili CCM ipate sababu ya kuzuia mikutano ya chadema na pia kufuta uchaguzi mpaka mwakani
Lengo lao ni kutumia wingi wa wagonjwa wa corona kama kisingizio cha kufuta uchaguzi na kuzuia mikutano ya chadema mwezi ujaoKwahiyo.wapinzani.watakuwa wamekufa wote..kufikia.kipindi.hicho?!Lakini mbona.mtaani.watu.tunadunda tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Kanisani tutaenda kumkanya shetani na genge lake sote ni mavumbi na mavumbini tutarudi BIBLIA TAKATIFU imeandikwa kesheni mkiomba kwa maana hamjui siku wala saa atakaporudi Mwana wa Adam kulinyakuwa kanisa na nataka nikupe ukae ukijua Mungu haangalii Makanisa sijui Misikiti anachokiangalia ni Moyo wako Mwili wako ni Hekalu chunga sana haya yanayotendeka sasa hapa Duniani ni chukizo kwa Mungu tufunge na kusali tena ikibidi na mikesha iwepo shetani akanyagwe mpaka ateketeee Mambo yote yatapita lakini NENO LITASIMAMA.Watanzania wenzangu. Tumieni maarifa. Ujinga utatumaliza.
Epuka mikusanyiko yote. Kwa hivi sasa ugonjwa unasambaa. Siyo kwamba ni tatizo dogo. Tatizo ni kubwa mno na vurusi vipo nchini ila kwa sasa tunaambukizana. Patakuwa hapatoshi.
Tuache ujinga. Epuka mikusanyiko hata ya kwenye ibada. Kule Italy hata pope ameagiza tusali majumbani kwetu na maungamo tujifanyie wenyewe. Huyo ndo kiongozi wa kanisa na hapo alipo ndipo alipozikwa Paulo na Petro. Sikiliza wataalam, siyo Rais Magufuli.
Huko nako shetani katamalakiUmeona hata Zimbabwe watu wameambiwa wasiende kwenye nyumba za ibada, waliokaidi wamepigwa viboko. Tatizo la Tanzania, wajinga ni wengi kuliko werevu.
Sio wajinga. RAIS anapuuza kaangalia upande mmoja wa sh. Huu ugonjwa ukilikupa vifo vya watu vtakuwa mkononi mwakeUmeona hata Zimbabwe watu wameambiwa wasiende kwenye nyumba za ibada, waliokaidi wamepigwa viboko. Tatizo la Tanzania, wajinga ni wengi kuliko werevu.
Wajenzi huru walianzia Italy soma maandiko usichukulie nyepesiSiyo lazima umsikilize Pope, ila basi wasikilize wataalam. Lengo langu siyo kukuomba umsikilize Pope, ila nilitaka kufikisha ujumbe kwamba Jiwe ni mkatoliki, Pope ni mkatoliki. Kuhusu imani ya mkatoliki kusali bora amsikilize Pope kuliko Jiwe
Kuna.siri.kubwa sana.kwenye huu ugonjwa,kuna watu.mnajiamini.sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mgeni wa MinyooKwani umekatazwa kumuombea? just do it
Tena sio mpagani satan kabisa yaani mtu na timamu zake mwenye hofu ya Mungu hawezi sema Misikiti na Makanisa yafungwe kisa corona ngoja nizidi kusali hawa wakaza shingo zivunjike kabisa tena washindwe na walegeeWatu tuko Makanisani tunakesha tunamsihi Mungu atuponye na janga hili wewe unasema tusikusanyike? Rais unafikiri ni mpagani Kama wewe?
ndo maana unatoa povu juu ya Makanisa.
Wafunge baa zote siyo Makanisa.
Ndio imani yenu walokole... Nenda ukawe contaminated then ukagusane na ndugu zako halafu mfanye maombiBila Mungu kuingilia kati hata tukijificha kwenye mahandaki ya chuma korona itatufuata hukohuko.
Wengi hufia majumbani wengine hufa kwa magojwa mengine kumbe wakati anaumwa gonjwa lingine corona inapenya humo humo akifa wanajua kafa kwa ule Ugonjwa wa Awali, lengo la CCM ni kutaka wafe ili wapate kisingizio cha kufuta uchaguzi mpaka 2025 na kuzuia mikutano ya chademaSio wajinga. RAIS anapuuza kaangalia upande mmoja wa sh. Huu ugonjwa ukilikupa vifo vya watu vtakuwa mkononi mwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko Italy kuna waumini wengi lakini wamekufa, na makanisani hawaendi sasa, ngoja Tanzania tujifanye wajanja kiama kikija ndipo watu watazindukaTena sio mpagani satan kabisa yaani mtu na timamu zake mwenye hofu ya Mungu hawezi sema Misikiti na Makanisa yafungwe kisa corona ngoja nizidi kusali hawa wakaza shingo zivunjike kabisa tena washindwe na walegee
Sent using Jamii Forums mobile app