Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Bila Mungu kuingilia kati hata tukijificha kwenye mahandaki ya chuma korona itatufuata hukohuko.
 
Amepotoka sana mkulu, kama ameweza kutoa order shule zifungwe na watoto wetu wasipate elimu, kanisani na misikitini kuna kipi cha ziada?

Gathering yoyote kwa sasa ni kosa kubwa na itakuja kuligharimu taifa.
Kwa mujibu wa Le mutuz msiri wa Bashite wana mpango kuziruhusu shule ziendelee na masomo lakini bado wanatafakari kwa undani
 
Le mutuz kampa jamaa taarifa kuwa kapata siri toka kwa Daud Bashite kuwa lengo la CCM kutowazua Wachina wazungu wageni wote ni kutaka wagonjwa wawe wengi hapo Nchini ili CCM ipate sababu ya kuzuia mikutano ya chadema na pia kufuta uchaguzi mpaka mwakani
Kwahiyo.wapinzani.watakuwa wamekufa wote..kufikia.kipindi.hicho?!Lakini mbona.mtaani.watu.tunadunda tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wenzangu. Tumieni maarifa. Ujinga utatumaliza.

Epuka mikusanyiko yote. Kwa hivi sasa ugonjwa unasambaa. Siyo kwamba ni tatizo dogo. Tatizo ni kubwa mno na vurusi vipo nchini ila kwa sasa tunaambukizana. Patakuwa hapatoshi.

Tuache ujinga. Epuka mikusanyiko hata ya kwenye ibada. Kule Italy hata pope ameagiza tusali majumbani kwetu na maungamo tujifanyie wenyewe. Huyo ndo kiongozi wa kanisa na hapo alipo ndipo alipozikwa Paulo na Petro. Sikiliza wataalam, siyo Rais Magufuli.
Wewe Kanisani tutaenda kumkanya shetani na genge lake sote ni mavumbi na mavumbini tutarudi BIBLIA TAKATIFU imeandikwa kesheni mkiomba kwa maana hamjui siku wala saa atakaporudi Mwana wa Adam kulinyakuwa kanisa na nataka nikupe ukae ukijua Mungu haangalii Makanisa sijui Misikiti anachokiangalia ni Moyo wako Mwili wako ni Hekalu chunga sana haya yanayotendeka sasa hapa Duniani ni chukizo kwa Mungu tufunge na kusali tena ikibidi na mikesha iwepo shetani akanyagwe mpaka ateketeee Mambo yote yatapita lakini NENO LITASIMAMA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu tuko Makanisani tunakesha tunamsihi Mungu atuponye na janga hili wewe unasema tusikusanyike? Rais unafikiri ni mpagani Kama wewe?
ndo maana unatoa povu juu ya Makanisa.
Wafunge baa zote siyo Makanisa.
 
Siyo lazima umsikilize Pope, ila basi wasikilize wataalam. Lengo langu siyo kukuomba umsikilize Pope, ila nilitaka kufikisha ujumbe kwamba Jiwe ni mkatoliki, Pope ni mkatoliki. Kuhusu imani ya mkatoliki kusali bora amsikilize Pope kuliko Jiwe
Wajenzi huru walianzia Italy soma maandiko usichukulie nyepesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ugonjwa tuombe uishie kwa hao wapanda ndege wenye uwezo was kujiwekea quarantine kwenye majengo ya peke yao na kujihudumia kwa gharama zao. Fikiria umefika Tandale, Buza, Vingunguti, Sombetini, n.k

Kwa watu wasiomudu kuwa na chakula cha Siku mbili. Watu ambao wanachangia choo, chumba, kikombe cha maji ya kunywa, kitanda n.k

Tutakufa kama mvua. Ni muda sasa was kuzuia entrance zote na wale walioingia wawekwe quarantine mpaka watapopona na aidha kubainika kuwa hawaumwi ili ugonjwa huu usifike Mtogole na kwa mlambwa.
 
Watu tuko Makanisani tunakesha tunamsihi Mungu atuponye na janga hili wewe unasema tusikusanyike? Rais unafikiri ni mpagani Kama wewe?
ndo maana unatoa povu juu ya Makanisa.
Wafunge baa zote siyo Makanisa.
Tena sio mpagani satan kabisa yaani mtu na timamu zake mwenye hofu ya Mungu hawezi sema Misikiti na Makanisa yafungwe kisa corona ngoja nizidi kusali hawa wakaza shingo zivunjike kabisa tena washindwe na walegee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wajinga. RAIS anapuuza kaangalia upande mmoja wa sh. Huu ugonjwa ukilikupa vifo vya watu vtakuwa mkononi mwake

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi hufia majumbani wengine hufa kwa magojwa mengine kumbe wakati anaumwa gonjwa lingine corona inapenya humo humo akifa wanajua kafa kwa ule Ugonjwa wa Awali, lengo la CCM ni kutaka wafe ili wapate kisingizio cha kufuta uchaguzi mpaka 2025 na kuzuia mikutano ya chadema
 
Tena sio mpagani satan kabisa yaani mtu na timamu zake mwenye hofu ya Mungu hawezi sema Misikiti na Makanisa yafungwe kisa corona ngoja nizidi kusali hawa wakaza shingo zivunjike kabisa tena washindwe na walegee

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko Italy kuna waumini wengi lakini wamekufa, na makanisani hawaendi sasa, ngoja Tanzania tujifanye wajanja kiama kikija ndipo watu watazinduka
 
Back
Top Bottom