Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Tatizo magu katushikia akili zetu.Umeona hata Zimbabwe watu wameambiwa wasiende kwenye nyumba za ibada, waliokaidi wamepigwa viboko. Tatizo la Tanzania, wajinga ni wengi kuliko werevu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo magu katushikia akili zetu.Umeona hata Zimbabwe watu wameambiwa wasiende kwenye nyumba za ibada, waliokaidi wamepigwa viboko. Tatizo la Tanzania, wajinga ni wengi kuliko werevu.
Tayari walala hoi wanaugulia ndani kwa siri hawataki kujitangaza na wengi watakufa kimya kimya pasipo kutangazwaHuu ugonjwa tuombe uishie kwa hao wapanda ndege wenye uwezo was kujiwekea quarantine kwenye majengo ya peke yao na kujihudumia kwa gharama zao. Fikiria umefika Tandale, Buza, Vingunguti, Sombetini, n.k
Kwa watu wasiomudu kuwa na chakula cha Siku mbili. Watu ambao wanachangia choo, chumba, kikombe cha maji ya kunywa, kitanda n.k
Tutakufa kama mvua. Ni muda sasa was kuzuia entrance zote na wale walioingia wawekwe quarantine mpaka watapopona na aidha kubainika kuwa hawaumwi ili ugonjwa huu usifike Mtogole na kwa mlambwa.
Wanasaka kisingizio cha kuzuia uchaguzi na mikutano ya siasa kwa njia ya ajabuTatizo magu katushikia akili zetu.
Nyinyi ndo mnasubiri kumlaumu Rais tu watu wako ibada wanaomba wewe uko kijiweni eti unaanzisha uzi ibada zifungwe! Utasubiri sanaWatanzania wenzangu. Tumieni maarifa. Ujinga utatumaliza.
Epuka mikusanyiko yote. Kwa hivi sasa ugonjwa unasambaa. Siyo kwamba ni tatizo dogo. Tatizo ni kubwa mno na vurusi vipo nchini ila kwa sasa tunaambukizana. Patakuwa hapatoshi.
Tuache ujinga. Epuka mikusanyiko hata ya kwenye ibada. Kule Italy hata pope ameagiza tusali majumbani kwetu na maungamo tujifanyie wenyewe. Huyo ndo kiongozi wa kanisa na hapo alipo ndipo alipozikwa Paulo na Petro. Sikiliza wataalam, siyo Rais Magufuli.
Bila Neema ya Mungu Watanzania wengi watakufa kwa njaa na siyo Corona ili kufanikiwa kuudhibiti Ugonjwa huu.Watanzania wenzangu. Tumieni maarifa. Ujinga utatumaliza.
Epuka mikusanyiko yote. Kwa hivi sasa ugonjwa unasambaa. Siyo kwamba ni tatizo dogo. Tatizo ni kubwa mno na vurusi vipo nchini ila kwa sasa tunaambukizana. Patakuwa hapatoshi.
Tuache ujinga. Epuka mikusanyiko hata ya kwenye ibada. Kule Italy hata pope ameagiza tusali majumbani kwetu na maungamo tujifanyie wenyewe. Huyo ndo kiongozi wa kanisa na hapo alipo ndipo alipozikwa Paulo na Petro. Sikiliza wataalam, siyo Rais Magufuli.
Duh! Kumbe corona ni ya wazungu? Basi inawezekana hao watz waliotangazwa wana corana nao ni wazungu wenye uraia wa tz.Nyinyi mtaondoka na ngoma au malaria siyo corona ya wazungu!
Siku kakikupata hako kakorona ndiyo utajua kuwa siyo kakorona, na utatamka vizuri tu kuwa ni corona.
Le mutuz kampa jamaa taarifa kuwa kapata siri toka kwa Daud Bashite kuwa lengo la CCM kutowazua Wachina wazungu wageni wote ni kutaka wagonjwa wawe wengi hapo Nchini ili CCM ipate sababu ya kuzuia mikutano ya chadema na pia kufuta uchaguzi mpaka mwakani
Wewe jamaa huenda Lemutuz alikuchukulia mkeo au alikudinya akakuacha maana si kwakumchukia hukoLe mutuz kampa jamaa taarifa kuwa kapata siri toka kwa Daud Bashite kuwa lengo la CCM kutowazua Wachina wazungu wageni wote ni kutaka wagonjwa wawe wengi hapo Nchini ili CCM ipate sababu ya kuzuia mikutano ya chadema na pia kufuta uchaguzi mpaka mwakani
Hoja ya mleta uzi mbona inaeleweka?Nyinyi ndo mnasubiri kumlaumu Rais tu watu wako ibada wanaomba wewe uko kijiweni eti unaanzisha uzi ibada zifungwe! Utasubiri sana
Mwisho wa siku kila mtu atakufaSiku kakikupata hako kakorona ndiyo utajua kuwa siyo kakorona, na utatamka vizuri tu kuwa ni corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo halina ubishi. Lakini usichukue kamba ukajinyonga kwa vile tu unajua kuna siku utakufa. Ni bora usubiri hiyo siku ifike yenyewe, usiiharakishe.
Kwa kupanga au kwa bahati mbaya?.Ndio imani yenu walokole... Nenda ukawe contaminated then ukagusane na ndugu zako halafu mfanye maombi