Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Umeona hata Zimbabwe watu wameambiwa wasiende kwenye nyumba za ibada, waliokaidi wamepigwa viboko. Tatizo la Tanzania, wajinga ni wengi kuliko werevu.
Tatizo magu katushikia akili zetu.
 
Huu ugonjwa tuombe uishie kwa hao wapanda ndege wenye uwezo was kujiwekea quarantine kwenye majengo ya peke yao na kujihudumia kwa gharama zao. Fikiria umefika Tandale, Buza, Vingunguti, Sombetini, n.k

Kwa watu wasiomudu kuwa na chakula cha Siku mbili. Watu ambao wanachangia choo, chumba, kikombe cha maji ya kunywa, kitanda n.k

Tutakufa kama mvua. Ni muda sasa was kuzuia entrance zote na wale walioingia wawekwe quarantine mpaka watapopona na aidha kubainika kuwa hawaumwi ili ugonjwa huu usifike Mtogole na kwa mlambwa.
Tayari walala hoi wanaugulia ndani kwa siri hawataki kujitangaza na wengi watakufa kimya kimya pasipo kutangazwa
 
Tena watu waache ujinga kabisa. Hotuba ile ya Rais wetu inazunguka mpaka Ulaya.

**** mtu mmoja huko Uingereza, alijibu kwa maneno makali sana, sitasema alichokisema kwa heshima ya Rais. Lakini akasema kwamba hata huko kwao watu wa namna hiyo walikuwepo mwanzoni. Watu wabishi wanaojiona ni wajanja. Leo hii wanajuta, wamechamganyikiwa, na hawaelewi wafanye nini. Unakuta nyumba nzima, pengine amebaki mmoja. Na ndugu aliyefariki, hakuna hata ndugu aliyeshuhudia mazishi yake.

Taarifa za wataalam wa sayansi ya tiba huko Uingereza wanasema virus vya corona, vimekuwa mutated na kuwa stronger kuliko mwanzo. Sasa vinawameza mpaka vijana.

Watu wanakufa kwa kusafocate. Bila ventilating machines, kama upo kwenye ile 20% ambayo ndio huwa serious sick katika kila 100%, umekwenda. Na sisi hospitali zetu hazina hizi machines.

Sasa hivi ni kipindi cha maambukizi, halafu kitafuata kipindi cha kuugua na kisha vifo. Tusijione ni wajanja sana kuliko wanaokufa kila siku. Italy juzi watu 647 wamekwenda. Jana watu 793 wamekwenda.

Tulisema ni wazee zaidi wanaokufa, huko Spain vijana wengi wamekwenda.
 
Watanzania wenzangu. Tumieni maarifa. Ujinga utatumaliza.

Epuka mikusanyiko yote. Kwa hivi sasa ugonjwa unasambaa. Siyo kwamba ni tatizo dogo. Tatizo ni kubwa mno na vurusi vipo nchini ila kwa sasa tunaambukizana. Patakuwa hapatoshi.

Tuache ujinga. Epuka mikusanyiko hata ya kwenye ibada. Kule Italy hata pope ameagiza tusali majumbani kwetu na maungamo tujifanyie wenyewe. Huyo ndo kiongozi wa kanisa na hapo alipo ndipo alipozikwa Paulo na Petro. Sikiliza wataalam, siyo Rais Magufuli.
Nyinyi ndo mnasubiri kumlaumu Rais tu watu wako ibada wanaomba wewe uko kijiweni eti unaanzisha uzi ibada zifungwe! Utasubiri sana
 
Watanzania wenzangu. Tumieni maarifa. Ujinga utatumaliza.

Epuka mikusanyiko yote. Kwa hivi sasa ugonjwa unasambaa. Siyo kwamba ni tatizo dogo. Tatizo ni kubwa mno na vurusi vipo nchini ila kwa sasa tunaambukizana. Patakuwa hapatoshi.

Tuache ujinga. Epuka mikusanyiko hata ya kwenye ibada. Kule Italy hata pope ameagiza tusali majumbani kwetu na maungamo tujifanyie wenyewe. Huyo ndo kiongozi wa kanisa na hapo alipo ndipo alipozikwa Paulo na Petro. Sikiliza wataalam, siyo Rais Magufuli.
Bila Neema ya Mungu Watanzania wengi watakufa kwa njaa na siyo Corona ili kufanikiwa kuudhibiti Ugonjwa huu.
Na usifikirie kuwa shida ni ujinga ,watalaam tunawasikiliza na kuwaelewa vizuri sana shida ni Umasikini wa Watanzania walio wengi
 
Nyinyi mtaondoka na ngoma au malaria siyo corona ya wazungu!
Duh! Kumbe corona ni ya wazungu? Basi inawezekana hao watz waliotangazwa wana corana nao ni wazungu wenye uraia wa tz.
Tutembee kifua mberee corona ni ya wazungu, tusitishane bwana kumbe haituhusu!!

Lakini kwanini tumefungwa shule na vyuo kwa sababu ya corna ya wazungu?
Kwanini tumesimamisha michezo na shuguli zote za mikusanyiko ya watu kama corana ni ya wazungu?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuapia... Hiyo corona itaondoka na haohao waliopanga hizo njama.

Tena wengine wana magonjwa kama kisukari na magonjwa ya moyo.

Hao corona ikiwapata hawana chao. Then ndio watajua kuwa walifanya uamuzi wa kipumbavu.
Le mutuz kampa jamaa taarifa kuwa kapata siri toka kwa Daud Bashite kuwa lengo la CCM kutowazua Wachina wazungu wageni wote ni kutaka wagonjwa wawe wengi hapo Nchini ili CCM ipate sababu ya kuzuia mikutano ya chadema na pia kufuta uchaguzi mpaka mwakani
 
Siku za hapo nyuma kuna wajinga walimtukana sana Magufuli eti kwanini kamtimua yule dada aliesema haoa nchini kuna ugonjwa wa zika? Lkn mpaka leo sijawahi kuona hiyo zika aliyoisema yule dada.

Kuna mazuzu mengine yakiongozwa na kigogo wa twiter kwamba hapa nchini kuna ebola, na Magufuli anatumia nguvu kuficha! Mpaka leo hiyo ebola sijui iko wapi?

Uzuri ni kwamba Magufuli asitegemee kuungwa mkono na kila mtu, mazuzu kama haya aina ya mleta mada ni lazima yawepo nchini ili kukamilisha mzunguko wa maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Le mutuz kampa jamaa taarifa kuwa kapata siri toka kwa Daud Bashite kuwa lengo la CCM kutowazua Wachina wazungu wageni wote ni kutaka wagonjwa wawe wengi hapo Nchini ili CCM ipate sababu ya kuzuia mikutano ya chadema na pia kufuta uchaguzi mpaka mwakani
Wewe jamaa huenda Lemutuz alikuchukulia mkeo au alikudinya akakuacha maana si kwakumchukia huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi ndo mnasubiri kumlaumu Rais tu watu wako ibada wanaomba wewe uko kijiweni eti unaanzisha uzi ibada zifungwe! Utasubiri sana
Hoja ya mleta uzi mbona inaeleweka?
Tumekataza mikusanyiko isiyo ya lazima,
Kama tunaruhusu ibada ambazo zinakuwa na mikusanyiko mikubwa ya watu, kwa nini shule na vyuo vilifungwa?
Kama unawaondoa wanafunzi shule na vyuoni kuepuka mikusanyiko halafu hao hao unawaruhusu tena wakakusanyike makanisani na misikitini.....!!!??
Mkuu wa kaya kasema tusilete utani na mzaha kwenye huu ugonjwa wa corona, lakini naona anachozuia ndicho anachokifanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wetu naona hajakubali kiivyo kuhusu ukali wa ugonjwa huu. Mipaka iko wazi, makanisa, misikiti na maeneo yenye watu wengi bado ipo encouraged kukusanya watu.

Mf: kuna mfanyakazi wa kiitaliano kaingia nchini na pake JKNI kapimwa bila karantini, kaombwa tu namba ya simu eti hali ikibadilika atapiga simu.

Au mpaka wafe Watanzania elfu ndo tutastuka? Linganisha hatua zilizochukuliwa na E African countries compare na zetu, tunazingua! Kunawa mikono tu sijui na elimu elimu won't make people serous!

Yes, anatuhimiza tupige kazi, ni jambo zuri sana, but are we sure tupo salama? Mipaka ibakie wazi tu? Wasafiri waingie na kutoka then karantini iwe ya kujitegemea?

... Ene wey... Ngoja tuone!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20200322-213449-1.jpg
 
Back
Top Bottom