Ricochet
Senior Member
- Mar 14, 2020
- 122
- 422
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wanataka kupunguza watu. Corona haina chama wala dini.Katika kupambana na corona, Tanzania tumekuwa tofauti sana na wenzetu kiasi kwamba unajiuliza kama ile dhana ya dunia ni kijiji ina-apply katika nchi yetu.
Tumekuwa very selective katika kuamua ni aina gani ya mikusanyiko ipigwe marufuku na ipi iachwe wakati ukweli unabaki mikusanyiko ni mikusanyiko bila kujali nature ya mikusanyiko hiyo.
Kwa mfano,tunajidanganya sana kwa kujifanya wacha Mungu kwa kutozuia mikusanyiko katika nyumba za ibada kwa imani eti tusioogope huu ugonjwa mpaka tukashindwa kwenda kumuomba Mungu wakati unaweza kumuomba Mungu hata nyumbani kwako na akakusikiliza hasa katika kipindi hiki cha hili janga.
Sasa, wakati tumeacha kudhibiti baadhi ya mikusanyiko huku idadi ya wagonjwa ikiongezeka,ni jambo la kushangaza kuona tumeshindwa hata kuzuia mikusanyiko kwenye mabaa ambapo watu wanajazana na huku wakinywa kwa pamoja katika meza moja kanakwamba hatuna tishio la corona.
Kwa hakika tunashangaza sana, ila muda si mrefu tutavuna tunachopanda kama Taifa.
Hii comment imenichekesha sana aiseeeWatanzania sisi ni wagumu sana kuelewa! Tulichoelewa ni kunawa maji kwa sabuni tu! Ummy mshauri Jiwe mfanye kitu kutuokoa la sivyo ya Italy tutayaona hapa hapa bongo! Ewe Mwenyezi Mungu tunusuru waja wako na hili janga! Ameen
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu, mamlaka ikitamka, Kesho tu hutaona Ibada zikiendelea, makanisa na miskiti itafungwa,Hapa maandiko yanasema tunaangamia kwa kukosa maarifa . Covid-.19. Inashambazwa kutokana na mikusanyiko ya watu. Lakini baadhi ya viongozi wa dini wamekosa uzalenzo wamejali mapato fedha kuliko uhai wa watu.