Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

Mhubiri Paulo yupo pampja na mchungaji masanja. Wakihubiri neno la Bwana na wanaichambua Bible
 
Pascal nilikuwa nakuona mtu wa maana kumbe nawewe ni hovyo kiasi hiki?? Bashite ni mpakwa mafuta wa Bwana?? Mbona mnapenda kumdhihaki Mungu kiasi hiki??

Acha kumtaja Mungu kupitia huyo jamaa Pascal,binafsi nimetune channel nyingine baada ya kumuona huyo punguani kwenye kipindi, WASAFI Tv wapuuzi sana hiki ni kipindi cha dini wanamualika mwanasiasa mjinga Kama Bashite nonsense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda anasema Mungu ni Baba, anakujua kujua kuliko unavyojijua, hivyo anafahamu mahitaji yako kuliko hata wewe unavyojijua wewe mwenyewe.

Kuna vitu unaweza kuomba Mungu na kuna vitu Mungu anakupa bila hata ya wewe kuomba.
P
 
ANamwambia masanja amuangalizie kile kitabu kinachosema utafuteni kwanza ufalme wa Mungu .! Nadhani mtumishi mistari itakuwa kaisahau.
 
Pasta Makonda anasisitiza, " Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu, mengine yote mtazidishiwa na kupewa kwa ziada.
P
 
Yapo mambo ambayo dada anahisi lazima ayafanye ni wajibu wake.

Ukiona wvijana wanakomaa na gim ni ili kuwalinda wasichana wao. -Mtumishi paulo makonda
 
Unategemea leo JPM ampigie IGP ampigie siro simu kumuomba ulinzi? Sio jukumu lake - Mtumishi Paulo
 
Wanahubiri amani huku wameficha majanga by Professor Jay 😁😁😁😁😁 they preach what they dont practices ila jambo moja Kuwa Mungu hadhihakiwi
 
Acha chuki mkuu ! tofaut zako za kiitikadi usizilete kwenye dini,shame!.Mnajua ku attack personalities tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…