Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

fikiria mara mbilii wewe Idd azan, kitwna na manji hao wote ni CCM unasemaje wanakamatwa wapinzani tu,
mtu kama Sepetu ni kada mkubwa tu Chama dola
hivi mnatumia akili hizihizi wanazotumia watu wengine au mnafikiri kwa kutumia viungo vingine
 
Kauli za Makonda mwsho Chumbe Zanzibar zisiingie, wasikie harufu tu
 
Huyo Musukuma mwenyewe tunaweza kumuanika ni namna gani aliupata huo utajiri wake wakati ni mbumbumbu tu asiye na shule anaishi kiujanja ujanja tu
Kuna memba hapa JF kasema Msukuma alikuwa na duka la simu feki huko Arusha na ghafla akafunga biashara na kutokomea usukumani na ghafla akaibuka ni milionea tayari!
 
Naona hata Polisi wenye hukumu.la kufanya interview watuhumiwa jukumu hili linafanywa na Mkuu wa Mkoa.Ni bora Tuambie kwamba ameteuliwa kuwa IGP au Waziri wa mambo ya ndani.

Naona jinsi jamaa atakavyoanguka vibaya
Naona umekuwa sheikh Yahya, acheni unazi kwenye mambo ya msingi, au kwa vile Aikael ametajwa??
 
Chadema haiwezi kuwa na memba mpuuzi kama wewe,upinzani ni vita na vita ya magufuli ina mbinu za kishamba,ni mahakama gani imedhirisha Mbowe ni muuza madawa?
 
Ndugu Mbona kichwa cha Uzi kina majina na ktk maelezo yake uliyoleta hakuna majina au una chuki binafsi na hao watu?
 
Unaelewa tofauti ya umiliki na management? Kajifunze kwanza
Hiki ni kipindi cha watu kuwa makini sana, ni kipindi ambacho mtu unaweza ukafuatwa na polisi, "watu wa usalama", au mgambo nyumbani kwako ukakutwa na kiroba cha bangi au kichwa cha mtu-kinachimbuliwa nje ya nyumba yako! Kwamba kimefikaje hilo utajua mwenyewe ilimradi wanaokuwinda wamefanikiwa!
 
Kuna wengine wenyeviti wao wawili wapo kwenye list yaan wa chama na wa clab poleni mlioguswa
 
Watu ambao hamuelewi Gemu bora mtulie.

1:Jose kwanza aliwahi kuhojiwa akakiri kuwa alikuwa anafanya biashara hiyo.
2: Jose analatoka povu kisa Wema!!!(nafikiri mmenilewa)

Asante


Naweza kuwa sielewi kama wewe. Sasa niambie hoja ya ukwasi wa Makonda ipo au haipo? Tuyaache ya huyo Msukuma.
 
Kwani na rostam katajwa?
 
Walisema mbona hawagusi vigogo sasa kaanza kawataja bado mnamsakama. Hamjawahi kupoteza ndugu kutokana na hili janga eeh!! Sasa hivi issue imegeuka eti utajiri wake? Watanzania kweli tumelogwa🙁🙁
 
Mkuu mbona unalalamika kama unajua wataje uache unafiki wako
 
Hapa anatafutwa mboe mengine ni gelesha tu opposition wawahi tu exile otherwise wataishia jela
 
Angalau sio anatutajia akina Wema sepetu na TID.
Hapa naunga mkono...
 
Wew ni teja au muuza madawa?mbona unaleta ujinga kweny mambo ya maana? Hyo Kesi yenu itafutieni muda now hatutaki kusikia mengine zaid ya wanaohusika na madawa.


Asante kwa matusi yako. Wenye akili wamenielewa na kunipa likes nyingi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…