Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Makonda ana chuki flani amaizing, yaani anakwenda clouds TV kupigilia msumari kuwa Majizo EFM TV anauza madawa? huyu jamaa anatumika kwa maslahi ya wengine na hajui kama anatumika.
 
Mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa sawa je mbinu alizotumia zilikuwa sahihi kuwatangaza hazarani ? je hao aliowataja ni nani aliefungwa ? kama hawajafungwa kwa nini aliwataja ? kwa nini pia anatumia sana kituo ambacho pia kinahusishwa na inshu ya madawa ? ukitaka kumkosoa mwenzako anza kwanza na wewe MAKONDA ni mtoo wa masikini anavyosema yeye nini juu ya ukwasi alionao kautolea wapi ? au na yeye anahusika na ngada ? anataka kuwaharibia soka hawa ili nae watu wake wapige kazi kwelikweli ?
 
Makonda ana chuki flani amaizing, yaani anakwenda clouds TV kupigilia msumari kuwa Majizo EFM TV anauza madawa? huyu jamaa anatumika kwa maslahi ya wengine na hajui kama anatumika.
Mwacheni makonda afanye hii kazi. Porojo zingine unazozifahamu peleka polisi. Hii vita I atakiwa kuungwa mkono na kila mtanzania mwenye akili timamu
 
Makonda anakurupuka na kwa hili ni lazima sasa anajuta, hakujua kuwa yupo kwenye nyumba ya vioo alivyoanza kutupa mawe, hahaaahaa, aseme mfadhili wa mambo yake sasa.
 
Aliseme na la "makongo"
 


Issue ya clouds kuusishwa na madawa ilo ni jungu tu, Makonda kuusishwa na ukwasi wa pesa mkuu ilo nakuakikishia ni uzushi mkubwa sana. Kuwataja hadharani mie nashangaa mbona. Hawa sio watu wa kwanza? Ebu tuone watu waliotajwa sana na kukashifiwa kupita kiasi. Lowasa, R. Azizi, Membe, Tibaijuka, Mbowe Zitto nk
 
Mwacheni makonda afanye hii kazi. Porojo zingine unazozifahamu peleka polisi. Hii vita I atakiwa kuungwa mkono na kila mtanzania mwenye akili timamu
Kapigana vita vibaya sana, kwa nini hawakamatwi watu na mzigo? why wanaambiwa wako huru watuhumiwa ila WASIFANYE KOSA? kosa lipi? Wale mateja aliokuwa anaongea nao mbona hakuwapekleka polisi? ni yupi kati ya watuhumiwa aliekutwa na unga? Vita hii kila mtu anaipenda hakuna mtu anapenda madawa ila makonda haja deal na wauzaji wa madawa ya kulevya haswa ndio maana mpaka sasa hatujaona mzigo wowote uliokamatwa na bado mateja wanaendelea kulewa tu mitaani, wanalewa na mzigo wa wema? Tunda? Acheni masihara jamani.
 
Hili gemu kashapigwa 3-0 tena on aggregate

Hakuwa na dhamira ya dhati ila ishu zake kibinafsi
 
Mh. Kila mikutano yako nimeona clip ukiomba Watanzania wakuombee!! Sawa, sasa na sisi tunakuomba umpe Mh. Makonda nafasi ya uwaziri wa mambo ya ndani. Tofauti na hivyo mimi simo tena katika maombi.
 
Cha msingi muache tu hii biashara sio kushupaza shingo kwa mtu anayejitoa sadaka kulinda Taifa lake.
 
mido luly

Huwe mtenganisha wakwimba na wa chato

kwajima yupo ccm kwasasa 100%
kwasasa nan kwambia? huyu ndie mtu aneongoza kutoa misaada kwa upinzani ukimtoa Sabodo na rostam baada ya Lowassa kuingia pale
 
ok lakini wanaemsema makonda ni wanaccm wenzake pili mawingu nikukumbushe tu inshu ya mangwea ilikuwaje
 
Cha msingi muache tu hii biashara sio kushupaza shingo kwa mtu anayejitoa sadaka kulinda Taifa lake.
Ndyo unavyoaminishwa sababu wanajua watz wengi huwa hawafikirii wao ni kuambiwa ndicho wanaamini.
 
Akomae, vita dhidi ya madawa ya kulevya ni kali sana.

Ndio maana hao akina MSUKUMA wamenyanyuka juu yake baada ya kuona maslahi yao yameguswa!
Pole sn, umesahau kua anachopigania ni kwa ajili yetu na vizazi vyetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…