Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno ya Lissu na Lema kwa JPM ni halali ila Makonda kwa Bunge sio halali. Kweli Hiki ni kichekeshoHio sio MB GL au ML?
Kipindi fulani tulipiga sana kelele kwamba wateule wa rais wapewe instruments ili kila mmoja aelewe majukumu yake na mipaka yake.Hili halikieleweka vyema matokeo yake limefanya wakuu wa mikoa kugeuka mawaziri.
Katika kipindi cha nusu mwaka hivi kumekuwa na matukio ya hovyo sana hapa jijini Dar Es Salaam ya kulitumia jeshi la polisi katika kutekeleza matamko mbalimbali ya muheshimiwa Mkuu wa Mkoa
Ikumbukwe kwamba jeshi la polisi lipo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ambaye waziri wake ni Waziri Mwigulu Nchemba
Kitendo cha RC Makonda kutaka kulitumia jeshi la polisi kutekeleza matamko yake sio jambo zuri hata kidogo. Matukio ni mengi lakini mara nyingi sana Makonda ametoa maagizo kwa jeshi la polisi kufanya hiki na kile kana kwamba yeye ndiye waziri. Hii ni kutaka kuonyesha kuwa waziri Mwigulu ni waziri Uchwara jambo ambalo sio kweli.
Juzi juzi hapa alimshutumu Kamanda Sirro mbele ya hadhara kwamba anaonekana kuwabeba wauza Shisha......
Lakini pia hivi sasa kina hiki kinachoonekana vita dhidi ya madawa ya kulevya. Kiutendaji jambo hili linatakiwa kusimamiwa na waziri Mwigulu kwa kuwa anavyo vyombo vya kufanya uchunguzi na kuchukua hatua. Lakini ajabu Makonda kajimilikisha vita na kujiegeza ubavuni mwa rais Magufuli.......Huku waziri Mwigulu akiwa hana la kufanya
Jambo hili sio la kuchekewa kwani ipo siku RC atamtaka CDF aingize jeshi mtaani
Naunga mkono azimio la Bunge kuwa Ofis ya Rais awaandikie RC na DC watambue majukumu yake
Inawezekana sarakasi yote hii ni kwa sababu viongozi wa awamu hii hawakuapata semina elekezi?
RC Makonda kumpokonya madaraka Mwigulu haikubaliki
Lowasa kama anahusika aswekwe lupango tumechoka na wauza madawa et kisa wapinzan
Think Great in order to be a Great Thinker!!!!Na hii inathibitisha ile per cent 80 iliyotaka mfumo wa chama kimoja uendelee ilikuwa sahihi.Angalia leo hii ktk vita hii ya mihadarati upinzani umekufa ganzi.Tunawaona wanaccm tu wengine wakipigana vita hii na wengine wakikosoa kwa kupendekeza njia mbadala.Nimeshangaa hata mpambanaji wa upinzani anayeaminika KC Zitto Kabwe amepigwa ganzi!Kuna nini jamani huko upinzani?Nijuavyo mimi mlango wa ruzuku ya vyama ni mmoja tu Serikali, sasa kwa nini wapinzani mnashindwa kuiunga mkono ktk hivi vita.Hata kama kutajwa kwa KUB kumewakera yule ni binadam ana mambo yake binafsi.Mwisho niwapongeze sana ccm mmeonyesha ukomavu wa kisiasa na hasa Makonda, Nape na hata yule msukuma kwa kuwa wote mmekiri umuhimu wa vita hii.
Atajwe mara ngapi?Swali jepesi, akitokea mtu akamtaja Makonda kuwa anahusika, je atakamatwa? Maana polisi are acting on tips from different sources? Kama hawawezi basi haya yote kuna watu wanalengwa!
aisee ndani ya cm kuna vichwa sana..daah.. yani upinzani wa kweli upo ndani ya ccm na watu wanaongea kweli ..yani waongeaji wazuri kuliko hata hao wa upinzaniNa hii inathibitisha ile per cent 80 iliyotaka mfumo wa chama kimoja uendelee ilikuwa sahihi.Angalia leo hii ktk vita hii ya mihadarati upinzani umekufa ganzi.Tunawaona wanaccm tu wengine wakipigana vita hii na wengine wakikosoa kwa kupendekeza njia mbadala.Nimeshangaa hata mpambanaji wa upinzani anayeaminika KC Zitto Kabwe amepigwa ganzi!Kuna nini jamani huko upinzani?Nijuavyo mimi mlango wa ruzuku ya vyama ni mmoja tu Serikali, sasa kwa nini wapinzani mnashindwa kuiunga mkono ktk hivi vita.Hata kama kutajwa kwa KUB kumewakera yule ni binadam ana mambo yake binafsi.Mwisho niwapongeze sana ccm mmeonyesha ukomavu wa kisiasa na hasa Makonda, Nape na hata yule msukuma kwa kuwa wote mmekiri umuhimu wa vita hii.
Kipindi fulani tulipiga sana kelele kwamba wateule wa rais wapewe instruments ili kila mmoja aelewe majukumu yake na mipaka yake.Hili halikieleweka vyema matokeo yake limefanya wakuu wa mikoa kugeuka mawaziri.
Katika kipindi cha nusu mwaka hivi kumekuwa na matukio ya hovyo sana hapa jijini Dar Es Salaam ya kulitumia jeshi la polisi katika kutekeleza matamko mbalimbali ya muheshimiwa Mkuu wa Mkoa
Ikumbukwe kwamba jeshi la polisi lipo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ambaye waziri wake ni Waziri Mwigulu Nchemba
Kitendo cha RC Makonda kutaka kulitumia jeshi la polisi kutekeleza matamko yake sio jambo zuri hata kidogo. Matukio ni mengi lakini mara nyingi sana Makonda ametoa maagizo kwa jeshi la polisi kufanya hiki na kile kana kwamba yeye ndiye waziri. Hii ni kutaka kuonyesha kuwa waziri Mwigulu ni waziri Uchwara jambo ambalo sio kweli.
Juzi juzi hapa alimshutumu Kamanda Sirro mbele ya hadhara kwamba anaonekana kuwabeba wauza Shisha......
Lakini pia hivi sasa kina hiki kinachoonekana vita dhidi ya madawa ya kulevya. Kiutendaji jambo hili linatakiwa kusimamiwa na waziri Mwigulu kwa kuwa anavyo vyombo vya kufanya uchunguzi na kuchukua hatua. Lakini ajabu Makonda kajimilikisha vita na kujiegeza ubavuni mwa rais Magufuli.......Huku waziri Mwigulu akiwa hana la kufanya
Jambo hili sio la kuchekewa kwani ipo siku RC atamtaka CDF aingize jeshi mtaani
Naunga mkono azimio la Bunge kuwa Ofis ya Rais awaandikie RC na DC watambue majukumu yake
RC Makonda kumpokonya madaraka Mwigulu haikubaliki
Nafikiri Mh mkuu wa Mkoa alieleza mwanzoni kabisa sababu ya kutangaza hadharani naona wabezaji bado mnabeza bila kuja na njia mbadala,msikariri mambo ya sirisiri ndio nini?mbona mnataka kufanya hili jambo kama ni hot cake?wakati HAKUNA KINACHOSHINDIKANA CHINI YA JUA.Kuna kila dalili na harufu isiyo ya kawaida ya watanzania kuyumbishwa. Watanzania wamesahaulishwa mambo yote na kugeukia 'filamu itiayo hamu' ya madawa ya kulevya chini ya muongozaji Makonda. Watanzania wamehamishwa kwenye mambo yote, hata yale ya karibu yao.
Kulikuwa na suala la mikutano ya kisiasa,mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi, viwanda, Sheria ya Makosa ya Mtandao na ile iwahusuyo Wanahabari; mfumuko wa bei na matokeo mabovu ya kidato cha nne. Yote hayo yamesahaulishwa, ni madawa ya kulevya tu.
Makonda amejivika u-IGP,u-DCI,Uwaziri na Uhakimu. Ameota mapembe,analidharau hata Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anatamba kwa kuwabamba watanzania kwakuwa wanamfuatilia. Makonda anapaswa 'kususiwa' na kudhibitiwa. Ni kwakuwa hashauriki wala haambiliki kwasasa.
Madawa ya kulevya ni jambo baya. Vita yake ni muhimu na inahitajika bila kuchoka. Lakini, aina ya vita ya kupambana na madawa ya kulevya si hii ya Makonda. Madawa huingizwa,kusafirishwa,kuuzwa na kutumiwa sirini. Iweje vita yake iwe hadharani. Kutajataja watu ni kuwachafua na kuwashtua.
Makonda, kama atang'ang'ania aina hii ya kupambana na madawa ya kulevya, anapaswa kuachwa mwenyewe. Wengine tuendelee na mambo mengine ya kitaifa. Haiwezekani wote tusombwe na 'harakati za kuigiza' na zenye kuelekea kwenye giza. Haiwezekani.
Mwafaaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam