cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Hahahaaaaa na wewe ndani, OK.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kila dalili na harufu isiyo ya kawaida ya watanzania kuyumbishwa. Watanzania wamesahaulishwa mambo yote na kugeukia 'filamu itiayo hamu' ya madawa ya kulevya chini ya muongozaji Makonda. Watanzania wamehamishwa kwenye mambo yote, hata yale ya karibu yao.
Kulikuwa na suala la mikutano ya kisiasa,mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi, viwanda, Sheria ya Makosa ya Mtandao na ile iwahusuyo Wanahabari; mfumuko wa bei na matokeo mabovu ya kidato cha nne. Yote hayo yamesahaulishwa, ni madawa ya kulevya tu.
Makonda amejivika u-IGP,u-DCI,Uwaziri na Uhakimu. Ameota mapembe,analidharau hata Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anatamba kwa kuwabamba watanzania kwakuwa wanamfuatilia. Makonda anapaswa 'kususiwa' na kudhibitiwa. Ni kwakuwa hashauriki wala haambiliki kwasasa.
Madawa ya kulevya ni jambo baya. Vita yake ni muhimu na inahitajika bila kuchoka. Lakini, aina ya vita ya kupambana na madawa ya kulevya si hii ya Makonda. Madawa huingizwa,kusafirishwa,kuuzwa na kutumiwa sirini. Iweje vita yake iwe hadharani. Kutajataja watu ni kuwachafua na kuwashtua.
Makonda, kama atang'ang'ania aina hii ya kupambana na madawa ya kulevya, anapaswa kuachwa mwenyewe. Wengine tuendelee na mambo mengine ya kitaifa. Haiwezekani wote tusombwe na 'harakati za kuigiza' na zenye kuelekea kwenye giza. Haiwezekani.
Mwafaaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Rizimoko katajwa pamoja na waziri wa skauti, lini wanaripoti setro?Hio hainuhusu..km yupo kwenye list atajwe tu..Who is he by the way!!?? Makonda amtaje tu.
Kama hakuna kinachoshindikana waulizeni USA wanashindwaje msipende kujipa matumaini hewa,, kama unataka Kumaliza madawa malizeni dini na elekeeni kuomba misaada kwa ulluminat huenda mkafanikiwa. Fikra huruNafikiri Mh mkuu wa Mkoa alieleza mwanzoni kabisa sababu ya kutangaza hadharani naona wabezaji bado mnabeza bila kuja na njia mbadala,msikariri mambo ya sirisiri ndio nini?mbona mnataka kufanya hili jambo kama ni hot cake?wakati HAKUNA KINACHOSHINDIKANA CHINI YA JUA.
hii ni Tanzania unaizungumziaje USA???????Kama hakuna kinachoshindikana waulizeni USA wanashindwaje msipende kujipa matumaini hewa,, kama unataka Kumaliza madawa malizeni dini na elekeeni kuomba misaada kwa ulluminat huenda mkafanikiwa. Fikra huru
Na wabunge pia kama viongozi wanatakiwa wajiandae na mambo kama hayo asiwe rais pekee wa kujiandaaKuongea juu ya rais sio kutokumuheshimu,
nadhani ukiwa kiongozi ni vema ukajiandaa na mambo kama hayo.
BabuuuuuMkuu bei gani hawa...