Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

Sasa Sisi waislamu wengine ambao hatuna mambo hayo au tunapinga hizo fujo mnatuchukulia vipi?
Au mnatuona ni makafiri wenzenu?
Hahahhahahaa... mnazipinga hizo fujo za Ugaidi wapi? Mnazipingia msikitini?

Mbona quran ikichanwa hamuishii kupinga msikitini mnatoka kama mchwa na matamko na maandamano nchi nzima?

Nikikojolea quran leo mtatoka kama nyuki kwa maandamano na matamko nchi nzima.... Ila ubalozi wa marekani ukilipuliwa na Islamic State (ISIS) kwa jina la Allah (huwa wanatumia jina la Allah kufanya huo ushenzi wao) Mtapiga kimyaaaaa kama hamna kilichotokea.

Halafu mnakuja hapa kujikosha kuwa mnachukia Ugaidi.Nyie watu ni wanafiki sana.
 
Koran
5;51.
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao
9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani. Na katika nyinyi atakaye wafanya hao ndio vipenzi vyake, basi hao ndio madhaalimu
47;4.
Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu
9;5.
Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni.
9;29. Piganeni na wasio muamini Allah wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Allah na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
3;28. Waumini wasiwafanye makafiri kuwa wapenzi wao badala ya Waumini. Na anaye fanya hivyo, basi hatakuwa chochote mbele ya Allah.

Hadith (Maneno ya Muhammad)
Aya: - "Nyinyi (Waislam wa kweli) ndio watu bora kabisa waliowahi kati ya wanadamu." inamaanisha, watu bora zaidi kwa watu, kwani unawaleta na minyororo kwenye shingo zao wale wasio amini hadi wataukubali Uislamu.

Vol. 6, Book 60, Hadith 80
Abu Huraira aliripoti Mjumbe wa Allaah akisema: Usiwasalimie Wayahudi na Wakristo kabla ya kukusalimu na ukikutana na yeyote kati yao kwenye barabara mlazimishe aende sehemu nyembamba kabisa njia mtaroni.

Sahih Muslim 2167
Imesimuliwa Abdullah bin Umar: Mjumbe wa Allah alisema, '(Waislam) mtapigana na Wayahudi hadi baadhi yao watajificha nyuma ya mawe. Mawe (yatawasaliti) yakisema, 'Ewe Abdallah (mtumwa wa Allah)! Kuna Myahudi amejificha nyuma yangu; kwa hivyo muue. ''

Nukuu nyingine: 'Saa haitakuja mpaka utakapopambana na Wayahudi.' ”Vol. 4, Bk. 52, No. 176
 
Shida inaibuka pale ambapo neno "kafr" linatumika.
shida gani hiyo? mimi nilifikiri anayetumia jina la allah kujihalalishia kitu chochote kwa sababu zake zozote ikiwamo kufanya uhalifu kwa kutaja jina la allah huyo haamini huyo. kwa hivo ni kafr.
sasa je al qaida, al shabaab, boko haram, je hawa sio makafr?
 
HUWEZI kuutenga Uislam na Ugaidi.! hapo awali niliwaza Kama Wewe kua Ugaidi ni watu tu wenye interest zako Ila 28.12.2020 nilibadili msimamo Kwa niliyoyaona. Tandahimba kijiji cha Michenjele,, unawasikia kabisa wanasema Takbiriiiii ,,,,Allah Akbar,, wamevaa makanzu na mandevu na evendence zilipatikana kua wanahifadhiwa Kwa baadhi ya misikiti ... wanajiita " Answar Sunna wa jamaa" KUTOKA SIKU HIYO NAJIHADHARI NA NYINYI
 
Dini ni imani na sisi tunafuata maandiko yetu na kama unasubiri kila mara Alshabab au ISIS wakijilipua msikitini Ndio tuandamane dunia nzima unasubiri sana
Anyways amini unavyo amini na sisi tunaimani yetu
Siwewzi kukubadilisha wala wewe huwezi kubadilisha uislamu kitu muhimu lives goes on
 
Hayo ni mawazo yako
Hao magaidi hawafiki 0,001% ya waislamu
Je wewe umewahi kuwaona waislamu wangapi?
Wangapi kati yao ni magaidi?
Hizi ni story tu
Wakati wa ukolinoi wazungu walituaminisha watu weusi ni magaidi
Wewe unafikiri Mandela alikua ni gaidi?
 
kwamba sio kweli wafadhili wa ugaidi ni nchi za kiislam?

kwamba sio kweli nchi zilizoathirika na ugaidi sio zenye waislam wengi?

maanake ni hamjielewi ndomana nkasema kwenye vitabu vyenu kuna matobo somewhere
 
Uislamu unaongozwa na maandiko sio makafiri wanaojifanya ni waislamu katika you tube
Kama ipo Aya hata moja ya Qur'aan inasema Sisi lazima tuwe magaidi nionyeshe
Kwa sababu kwenye you tube kuna mtu anaitwa hasan na anapromote ugaidi basi Ndio uislamu unaujua wewe
 
kwamba sio kweli wafadhili wa ugaidi ni nchi za kiislam?

kwamba sio kweli nchi zilizoathirika na ugaidi sio zenye waislam wengi?

maanake ni hamjielewi ndomana nkasema kwenye vitabu vyenu kuna matobo somewhere
Hakuna nchi hata moja ya kiislamu inayo fadhili magaidi
Kweli waathirika wakubwa wa ugaidi ni waislamu
Kama nilivyo sema tutaongea sana bila kufika muafaka maana hili jambo la ugaidi ni tata sana
Mimi naamini hao wanaotumia Jina la uislamu kuhalalisha ugaidi wanafadhiliwa na makafiri
 
Mimi ni muislamu na huo Ndio uislamu
Hakuna sehemu andiko lolote linasema kuweni magaidi
Hayo maandiko mengi yanazungumzia vita
Of course tukiwa tupo kwenye vita na makafiri lazima tupigane
 
Kwa nini hao wanaochafua jina la Uislam kwa kufadhiliwa na makafiri HAMUWAKEMEI?

We jamaa unaelewa swali langu lakini?
Hao wanaochafua uislam kwa kufadhiliwa na makafiri MBONA HUWA HAMUWAKEMEI?

Hichi ndicho nimeuliza kama mara 10 hapa naona mnapiga chenga tu.
 
Mimi ni muislamu na huo Ndio uislamu
Hakuna sehemu andiko lolote linasema kuweni magaidi
Hayo maandiko mengi yanazungumzia vita
Of course tukiwa tupo kwenye vita na makafiri lazima tupigane
Sasa kuwapiga wasiomuamini huyo Allah wenu si ndio Ugaidi wenyewe au?

Mimi simuamini huyo Allah wenu, so mnatakiwa mnipige(kwa mujibu wa quran) si ndio?

Yaani dini inanilazimisha niiamini.

Sasa hii ndiyo munaita dini ya haki sijui dini ya amani?
 
Labda nikuuluze swali la mwisho
Tangu umezaliwa umewaona waislamu wangapi?
Wangapi kati yao ni magaidi?
Kama magaidi ni wachache uliowaona au hakuna kabisa..
Je huwezi kuamini hizi ni story tu kama story za paukwa na pakawa?
 
Sasa kuwapiga wasiomuamini huyo Allah wenu si ndio Ugaidi wenyewe au?

Mimi simuamini huyo Allah wenu, so mnatakiwa mnipige(kwa mujibu wa quran) si ndio?

Yaani dini inanilazimisha niiamini.

Sasa hii ndiyo munaita dini ya haki sijui dini ya amani?
Hatukulazimishi uamini ila kama tupo vitani tunapigana na makafiri aidha mpaka mfe au muamini
Mbona hata kwenye Bible kuna maandiko mengi kuhusu kutumia upanga?
Au mistari hio hamuioni?
 

Attachments

  • IMG_20210219_142624.jpg
    163.5 KB · Views: 3
Sasa kuwapiga wasiomuamini huyo Allah wenu si ndio Ugaidi wenyewe au?

Mimi simuamini huyo Allah wenu, so mnatakiwa mnipige(kwa mujibu wa quran) si ndio?

Yaani dini inanilazimisha niiamini.

Sasa hii ndiyo munaita dini ya haki sijui dini ya amani?
This is Bible talking about killing unbeliever s
 

Attachments

  • IMG_20210219_142624.jpg
    163.5 KB · Views: 3
Kwan vita kiarabu si ndio jihad, au nimelewa
 
Hatukulazimishi uamini ila kama tupo vitani tunapigana na makafiri aidha mpaka mfe au muamini
Mbona hata kwenye Bible kuna maandiko mengi kuhusu kutumia upanga?
Au mistari hio hamuioni?
Anzisha mada ya bible versions zinazozungumzia kuua kwa upana tutakuja kichangia... Mimi binafsi nitakuja.

Hapa tubaki kwenye mada husika ya Uislam na Ugaidi. Halafu UJIBU SWALI NILILOKUULIZA
 
Mimi ni muislamu na huo Ndio uislamu
Hakuna sehemu andiko lolote linasema kuweni magaidi
Hayo maandiko mengi yanazungumzia vita
Of course tukiwa tupo kwenye vita na makafiri lazima tupigane
Usi edit maandiko hakuna sehemu imesema mkiwa vitani, rudi kasome tena na usirudia tena kudanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…