pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 743
- 1,148
Ccm,inawaogopa Chadema,maana ikiwapa nafasi,watatangaza maovu yote ya ccm,na kuwaamusha wananchi,Rejea serikali ya Kikwete ilipojiuzuru,baada ya Waziri mkuu Lowasa kubanwa,hicho ndio ccm wanaogopa kwa Chadema,Chadema inaamusha wananchi,wakiamka,ccm hana chake,ndio maana walizima mtandao maovu yao yasijurikane nje,Comments ya kijinga kuwai kuiona jamiii forums ni hii ya huyu paschal martin.! Ww unadhani anaeomewa wivu ni mwenye nacho tu??????? Ccm Wana kila kitu mbona BADO wameendelea kuwaonea donge chadema na kuwapoka ubunge kwann ccm wasingekubali kuwa wao Wana kila kitu BAsi waache tu dunia iwe fair.???? Hapo utapata picha ya dhana ya uislamu na ugaidi wa kulazimisha kwenye magazeti cc wenyewe hatujui kama uislamu ni ugaidi lakin nyinyi ndio mnaona uislamu ni ugaidi hii inaonyesha nyie ndio mmeaminishwa hivyo.jinsi mlivyo watumwa wa fikra za wamagharibi na ndio maana leo wameleta project yao ya corona hakuna pakuchomoka hili la wote washajua kuna watu kule akili za kifikiria hawana kama wakina paschal martin
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Hitler ni mtu alieua watu wengi zaidi kwa muda mfuopi alikua Muislam?Waislam wote si magaidi ila magaidi wote ni waislam
Sasa wenye kitabu chao mbona siwaoni wakitia jihada kubwa kupinga hiyo dhana. ?Shida hao magaidi wanatumia uislam kuwaponza waislam wenzao. Quran ni kitabu kizuri ila kuna wanaokitumia kuhalalisha ugaidi
Truth is one and indivisible, kama kweli ni kitabu kizuri hakiwezi kutumika kuunga mkono ugaidi, na kinyume chake ni kweli pia.
Hitler ni mtu alieua watu wengi zaidi kwa muda mfuopi alikua Muislam?
Pablo escorber alikua muislamu?
Makundi ya kigaidi yanayo shughulika na Madawa ya kulevya kama mafia ni waislamu?
Colombia na Guatemala ni nchi za kiislamu?
Hakuna gaidi wa kiislamu wote ni ni makafiri
Osama hakua gaidi
Sadam hakua gaidi
Gaddafi hakua gaidi
Media umewahi kumtaja Mandela kua ni gaidi
Tuseme huo wa Iraq tumeukubali. Haya jibu sasa swali uliloulizwa juu ya Ubalozi wa marekani chini tanzania BILA CHENGACHENGA.Nimetoa mfano wa Iraq mbona hujazungumzia huo.
Twende taratibu.Hebu nijibu haya maswali.Hitler ni mtu alieua watu wengi zaidi kwa muda mfuopi alikua Muislam?
Pablo escorber alikua muislamu?
Makundi ya kigaidi yanayo shughulika na Madawa ya kulevya kama mafia ni waislamu?
Colombia na Guatemala ni nchi za kiislamu?
Hakuna gaidi wa kiislamu wote ni ni makafiri
Osama hakua gaidi
Sadam hakua gaidi
Gaddafi hakua gaidi
Media umewahi kumtaja Mandela kua ni gaidi
Hilo haliwezi kutokea, wenzako wanafurahi Sana wanapoona al-shabaab wanafanya yaleMimi naona waislamu wapinge hawa magaidi wasitumie jina uislamu kwenye matendo ya ugaidi kwa kisingizio wanaeneza dini ya uislamu au wanapigania dini
Toka nizaliwe Sijawahi kusikia muislam yoyote akikemea Mauaji ya Kigaidi. Sio waumini wala mashekhe.Kinachonisikitisha ni kuwa HAKUNA hata siku moja utaleta madaa hapa kupinga kinachofanywa na al-shabaab, Boko Haram, IS n.k
Ungeanza kwa kuwapinga Hawa kutumiaa uislamu kuua raia wasio na hatia.
Huwa najiulizaga kwa nini hamkosoi na kupinga haya makundi yanayotumia uislamu kuua?
Na ukikuta gaidi siyo Muislam atakuwa ameajiriwa na Muislam kutekeleza ugaidiWaislam wote si magaidi ila magaidi wote ni waislam
Yaani wala usikiri kwa level za juu sana, jiulize tu uelewa wa kawaida tu, kweli Mungu anaweza toa amri ya kuua mtu kutokana na kutembea na mke wa mtu? Hivi vitabu ni vya kusoma mara mbili mbili, ile element ya humanity kama inaizidi kwa mbali ile ya divinity.Hiki kitabu kinakupa option mbili, mfano: kuua au kumsamehe aliyekuibia mke ni juu yako, hata ukiua hautahesabiwa dhambi, sasa wengine wanachagua kuua
Kama umekubali Iraq itakuwa umekubaliana na sisi kuwa vita dhidi ya ugaidi imejengwa juu ya msingi wa uongo na imelenga kunyonya rasilimali na kuangamiza uislamu na Waislamu hasa ukizingatia imepelekwa ktk maeneo ya Waislamu kwanzaTuseme huo wa Iraq tumeukubali. Haya jibu sasa swali uliloulizwa juu ya Ubalozi wa marekani chini tanzania BILA CHENGACHENGA.
Wewe kutembea na mke wa mwenzio ndiyo unaona humanity. !?Yaani wala usikiri kwa level za juu sana, jiulize tu uelewa wa kawaida tu, kweli Mungu anaweza toa amri ya kuua mtu kutokana na kutembea na mke wa mtu? Hivi vitabu ni vya kusoma mara mbili mbili, ile element ya humanity kama ile ya divinity.
Chuki yako kwa Uislamu inakuunguza, poleNa ukikuta gaidi siyo Muislam atakuwa ameajiriwa na Muislam kutekeleza ugaidi
Jaribu kuelewa. Huyo aliyesema TUSEME HUO WA IRAQ TUMEUKUBALI hakutoa definitive answer. Alikupa lile jibu ili ueleze waliolipua ubalozi wa wamarekani kama mama zao waliuwawa. Inshu ya Iraq majibu yake yapo na hayafanani na nia ya kupora resourcesKama umekubali Iraq itakuwa umekubaliana na sisi kuwa vita dhidi ya ugaidi imejengwa juu ya msingi wa uongo na imelenga kunyonya rasilimali na kuangamiza uislamu na Waislamu hasa ukizingatia imepelekwa ktk maeneo ya Waislamu kwanza
Hata kama ni kutembea na mama yako. Haijalishi kuua mtu. Ufike mahali ukubali kuwa misimamo yako au yenu ama umma wenu Ina kasoro za waziWewe kutembea na mke wa mwenzio ndiyo unaona humanity. !?