Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

Yakatazeni yasitumie jina la uislamu kwenye ugaidi wao
 
Sasa mbona unajijibu mwenyewe Mbowe ni muislamu sasa? Mbona amehusishwa na ugaidi
 
Ndugu msikitini kote kuna program maalumu za vijana kuwaonya juu ya makundi ya kigaidi
Kila mwaka wakati wa hija mlima wa Arafat masheikh wakubwa hupanda na kukemea ugaidi
Hebu niambie...
Unategemea Mufti aende kanisani kukemea?
Mimi naona wewe unataka kutufundisha dini yetu au unafikiri Unaijua dini yetu kuliko Sisi
Hao magaidi ni wahuni
Sasa mbona unajijibu mwenyewe Mbowe ni muislamu sasa? Mbona amehusishwa na ugaidi
Sasa wewe unaamini mbowe ni gaidi au mwanasiasa?
 
Akifanya hivyo maybe itakuwa kweli aapingana na hao magaidi.
 
Kwani ugaidi upo au haupo? Kama upo, wanaoufanya ni akina nani na kwa nini?

Wale boko Haram na Al Shabab ni magaidi au wahuni tu?
 
Sasa mnakemeaje kisirisiri au kimya kimya hadi tusisikie acha udanganyifu na ujanja
Wewe unataka tuchukue maspika na gari tutembee barabarani?
Sisi tunanyumba zetu za ibada na ndio tunazungumza mambo yetu
Mara kadhaa Mufti anasema na viongozi wote wanakemea
Lakini kwa sababu wewe akili yako imejengwa hivyo Sina cha kusema
Dini ni imani na wewe endelea kuamini waislam ni magaidi life goes on
 
Unaelewa kiswahili. SIJAULIZA kuhusu kuwaonya vijana juu ya Ugaidi huko msikitini mnapokaa. Hebu soma swali halafu uelewe swali ndio ujibu.

NALIRUDIA HAPA CHINI

Nitajie kiongozi mmoja tu aliyewahi kutoka hadharani akakemea na kulaani UGAIDI wa alshabab, ISIS na Boko haram.

Quran ikikojolewa huwa wanatoka na matamko makali HADHARANI haraka sana. Sasa Niambie ni kiongozi gani wa kiislam aliwahi kutoka HADHARANI akakemea Mauaji ya kigaidi yanayofanywa kwa jina la Allah.
 
Kutoka hadharani maana yake nini?
Au tuchukue maspika na gari tuzungumze dunia nzima?
Bottom line uliza uislamu unasemaje kuhusu mauaji ya watu wasio na hatia
Swala la nani anakemea na nani anapinga huwezi jua maana haupo na sisi
Pombe, zinaa, nguruwe nk ni haramu
Je umewahi kuona sheikh gani anakemea unavyotaka wewe?
Je kwa sababu hujawahi kusikia hadharani Ndio Pombe iwe halali?
 
Mbona huulizii aliyetoka na kulaani mauaji kwa jina la ukristo au demokrasia, au ubudha nk
 
Mueleweshe vzr huyo
 
Unauliza kutoka hadharani ni nini?

1. Ni kama vile mlivyotoka hadharani kwa matamko mwaka jana Quran ilipochanwa-chanwa.

2. Ni kama mlivyotoka hadharani mwaka juzi kwa matamko Qur'an ilipokojolewa na yule mtoto.

3. Ni kama pia mlivyotoka hadharani mpaka mkaandamana kipindi kile cha Necta na ndalichako mkilaumu kuwa waislam mnafelishwa.

Nimekuambia unioneshe MFANO MMOJA TU wa ninyi mkitoa MATAMKO YA KULAANI HADHARANI Ugaidi unaoichafua dini yenu.

Hili swali langu nimekuwa gumu kweli kwako.

HUNA MFANO HATA MMOJA wa muislam aliyetoka hadharani akakemea ugaidi. Ungekuwa nao huo mfano hata mmoja tu ungeshausema hapa siku nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…