Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

kuna series moja ya FAUDA nashauri wenye maswali kuhusu vikundi vya ugaidi vya kiislamu mkaiangalia, kwa kiasi flani imejibu maswali yenu
 
Haya makundi yanateka watoto,yanaua watu wasio na hatia hakuna jihad pale mkuu ni watu wanaleta vurugu ktk jamii vitendo vyao vipo mbali na uislamu
Tatizo wanatumia uislamu kufanya hayo, hapo ndio tatizo lilipo. Tena wanaenda mbali na kunukuu ata katima Quran.
Shida ilipo hatujawahi kuona waislamu wakiandamana kupinga hayo makundi kufanya mauaji kwa mgongo wa uislamu. Ila tuliona waislamu wakiandamana sababu wamesikia Kuna mtoto kakojolea quran
 
Ndugu labda kama hufahamu ni kuwa wazungu wanajua kabisa kama uislamu ndio dini ya kweli.Na hilo halina ubishi kwao sasa wanachofanya ni kutumia njia zote ili isiendelee kukua KWA kasi na watu wakajitambua ndio maana unaona hila zote hizo mara ugaidi kila sehemu ukifuatilia KWA umakin hayo makundi ya kigaidi Wana yatengeneza wao KWA miamvuli ya kanzu na kofia .ukiona mtu kavaa kanzu kilemba kafuga ndevu anaua watu alafu anasema Allahu akbar unapeleka fikra zako kuwa ni waislamu hao ni magaidi kumbe hata mkiristo anaweza kusema Allahu akbar na akafanya tukio....kiufupi hizo njia ni KWA ajili ya kuikandamiza ili watu ambao Wana mpango wa kuwa waislamu waone kumbe dini yenyewe hii ya ugaidi haifai hata kusogea.

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Mmmh waislam mna nini lakini?yaani ulichoandika kinanifikirisha kwamba ibilisi yupo!
 
Umewai kusikia maaskofu na wachungaji popote pale wakikemea Wanajeshi wa marekani wanao fanya mauaji ya waislamu wake KWA waume kule pakistan iraq na iran.?????

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Yaani kuchangisha ujenzi wa msikiti/hospital watu wafungwe tena Tanga?danganya hata kwa akili kidogo basi!
 
Jamani Mbona Mmeacha Kukomenti Natamani Niendelee Kujifunza Maana Maoni Mengi Yako Njema
 
Ushawahi kuona akina Hitler wakisifiwa kwa mauaji yao,tatizo lenu ni kutumia kitabu chenu ili kuhalalisha madhambi
 
Jamani Mbona Mmeacha Kukomenti Natamani Niendelee Kujifunza Maana Maoni Mengi Yako Njema
 
Acha unafiki dini ya ukweli kivipi sasa dini ya kweli huwa inahubiri upendo sio chuki
 
KAKAE TENA UFIKIRIE VIZURI NDIO UJE NA HOJA
 
Niliona comments za watu shambulio la hoteli ya Dusit lilipofanyika huko Kenya, yaani huwezi amini
Utawasikia ua makafiri hao!!! Bila kujua wengineo mle walikuwemo Waislamu na wote hawana hatia. Wanafinyangwa akili (brain washed) tangu madrasa misikitini na wanakuwa makatili na wenye roho mbaya wakijidai ni watu wema. Wenye mamlaka wakichukua hatua kulinda usalama kwa kufuata sheria wanakuja kusema wanaonewa.
 
Acha kudanganya raia sheikh, hata muundo wa hivyo vikundi hao maamir na viongozi wote wanafuata Quaran inaavyoelekeza lengo ni kuunda dola la kiislamu dunia nzima. Mpaka elimu dunia na majini yanatumika humo na kuswali swala 5 huku wakilazimisha wote wasilimu na waswali sala 5. Leo jamaa yangu unakuja kukanusha ilhali ushahidi umejaa you tube na kwingine oganaizesheni ya hivyo vikundi ilivyo. Uje na hoja nzito basi sio maneno bla bla.
 
Umewai kusikia maaskofu na wachungaji popote pale wakikemea Wanajeshi wa marekani wanao fanya mauaji ya waislamu wake KWA waume kule pakistan iraq na iran.?????

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Sasa wanajeshi wa marekani wanahusiana vipi na ukristo?

Hao wanajeshi wa marekani huwa wanatumia Jina la Yesu kuua?
Huwa wanatumia maandiko ya Biblia kujustify mauaji yao?

Umewahi kusikia popote pale mtu anaua watu kwa kutumia Jina la Yesu au kwa kutumia justification ya maandiko ya Biblia???

Haya maswali mbona nimeuliza sana huko juu na mnayakwepa?
 
Namaanisha wanatumia vita dhidi ya ugaidi wakimaanisha vita dhidi ya uislamu. Wanaona aibu tu kusema moja kwa moja kuwa ni vita dhidi ya uislamu. Kwahiyo wamejificha ktk msamiati wa ugaidi
Mkuu unaweza kutuelezea nini kilichokuwa kinaendelea kule kibiti hapa Tanzania yetu?!

Pia kinachoendelea kule Msumbiji?!
 
Tena kwa pale Nigeria bokoharam wanasaidiwa sana na yule raisi wa Nigeria, mnafiki sana yule mzee MUNGU amlaani mbwa yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…