ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ukiwa mpiganaji na upo Frontline utagundua kwenye majibizano ya risasi Huwa ni kama mchezo Fulani wa kutoana wazimu yaani watu wanafyatua risasi ovyo kuelekea kwa adui sio kila risasi eti lazima uzingatie target nyingine unazipoteza tu juu yaani kiufupi unachezea risasi na kumbuka zote hizo ni pesa unakuta katika risasi 100 ulizirusha labda adui umemlenga kwa risasi tano tu zote umeziharibu ili LENGO litimie la kushinda vita.
Enhee basi hata katika maisha kama una jambo lako au mradi ambao unaleta matokeo kwa haraka basi usiwe mbahili sana achana na stori za kusema eti ukiwa mgumu ukabania hela basi ndo itakuwa tajiri huo ni uongo wakati mwingine tumia pesa ovyo na toa tips kwa washirika wako ili mambo yako yakujalie..
Labda nielezee kwa mfano dhahiri..Mimi ni mfugaji kuku ninayechipukia kwa kasi sana sikujuaga kama karama yangu ipo kwenye ufugaji MPAka pale nilipokuja kugundua kwamba kitu ukiizingatia na ukakipenda na ukakitolea hela kweli kinalipa..
Mwaka huu nilianza na kuku 10 kama masihara wa kienyeji na majogoo yake ni Yale machotara 3.basi nikafikiria nikaona kama offer za bia nilikuwa natoa kwa watu kwanini zile hela za bia na za kubet nisizibadilishe zikawa za kuwahudimia kuku..basi nikiwa mjini kama Nina hela Mimi nanunua tu ovyo nafaka za vyakula vya pumba iwe Michele,mitama,mashudu,dagaa,cokaa yaani nanunua ovyo ovyo tu na uzuri havina gharama sana kama una 10000 unapata mzigo wa kutosha..basi nikifika home nawabless kuku kwa hivyo vyakula na uzuri nakaa nje kabisa ya mji nimejitenga so nafuga free range..aisee kama masihara kuku wanne wametaga wote na kutamia mayai yaani nimejikuta Nina vifaranga 34 na wote wanaendelea vizuri MPAka inabidi niongeze eneo la kutagia ndani na niongeze na watetea zaidi..imagine nikiwakuza baada ya miezi 10 ni kuku ZAIDI ya 400 nitakuwa nao ambao thaman Yao ni zaidi ya million ukipiga kila kuku 13000...ona yaani ninaweza ku make million ndani tu ya miezi mitatu na hata pesa ninayotumia kwenye mtaji wa kuku na chakula haifiki laki mbili..sihisi maumivu yoyote ya Mimi kununua chakula chao ovyo na kuzidi kukijaza wale MPAka waache
Ndio nonachomaanisha yaani usiwe mgumu sana kwenye kitu kinachoweza kukupa pesa iachilie nafsi penda mradi wako kama nafsi yako kazi inalipa sana..
Cha msingi unakuwa tu na soko la kuku ukiona hata mmoja kaumwa kafa basi uza wote fasta ile hela kanunue wengine mbona easy tu wakuu hili life nilikuwa wapi kuzijua code hizi.