Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nikiangalia michango ya watu humu JF, nashindwa kuelewa kama hii Vita kati ya Hamas na Israel ni Vita ya kidini ama ni Vita kati ya Taifa na Taifa!!??
Nani hasa anayejua hii vita inahusu nini???
Hii vita inahusiana Vipi na vita kati ya Wafilisti na waisrael??
Uislam na Ukristo unahusikaje na hii vita??
Hii ni Vita kati ya Wayahudi na Waarabu au ikoje??