Vita kati ya Hamas na Israel ni kati ya dini na dini au ni kati ya Taifa na Taifa??

Vita kati ya Hamas na Israel ni kati ya dini na dini au ni kati ya Taifa na Taifa??

Nikiangalia michango ya watu humu JF, nashindwa kuelewa kama hii Vita kati ya Hamas na Israel ni Vita ya kidini ama ni Vita kati ya Taifa na Taifa!!??

Nani hasa anayejua hii vita inahusu nini???

Hii vita inahusiana Vipi na vita kati ya Wafilisti na waisrael??

Uislam na Ukristo unahusikaje na hii vita??

Hii ni Vita kati ya Wayahudi na Waarabu au ikoje??
Shida ni waislamu wenyewe wanapenda kuingiza udini wenyewe kutafuta huruma
 
Issue ya Israel na Palestina NI ugomvi wa Ardhi, hakuna mahusiano yoyote na dini.

Wapumbavu wengi wengi hawajui kama Kuna Waislamu waisrael.

PLO ndio platform Sahihi ya Wapalestina kupata Taifa Lao, lakini kikwazo kikubwa ni magaidi wa Hamas ambao upande wa Gaza walishinda kihalali kushika hatamu za uongozi.

Kwahiyo ni watu wa Gaza wenyewe ndio walichaguwa kuongozwa na magaidi, sasa hichi kikombe ni halali yao wakinywe.

Kabla hujawalaumu Israel jiulize Kwanza Palestina ni Gaza Tu? Mbona kwingine maisha yanaendelea Kwa Amani?
Ndio umeongea nini
West bank napo ghaza alokwambia kunaendelea vizuri nani
Mwisho leo magaidi ya kizayuni wamevamia kule na kuua watu na wengine kukamata wakati hakupo chini ya utawala wa hamas na wala sio ghaza
Njia pekee ambayo israhell na mazayuni wengine wanaielewa ni nguvu tu na ndio hii inayoendelezwa na hamas
Nani hamas pekee wanautawala halali wa ghaza na wanatakiwa waungwe mkono na wapenda haki na amani sio magaidi kama wewe
 
Wewe unafualitila habar au unasema tu. West Bank hapajatilia pia israel inawauwa wapelistina pia fuatikia Habari upate uelewa mwaka huu tu wapelistina 243 wameuliwa west bank
Anajua kuropoka tu huyo hajui lolote Westbank leo hii kuna watu wamekufa na wengine wametekwa na magaidi ya kizayuni ya israhell
 
Shida ni waislamu wenyewe wanapenda kuingiza udini wenyewe kutafuta huruma
Hakuna sehem waislam wanatafuta huruma
Sababu wanajua vinapokuja vita ama maafa dhidi ya uislam ama waislam mara zote wasiokua waislam huungana nakua kitu kimoja
Hata kama utawasikia wanajifanya kulaani laani kinafiq ila ujue lao na malengo yao hua mamoja
 
Mtu mjinga pekee ndiye atakaye husisha Vita hivi na dini. Huu ni ugomvi wa kisiasa. Kuna watu walikuwa wanataifa lao linaloitwa palestina limeishi kwa miaka mingi Sana hadi hiyo miaka ya 1940's hapo ndipo shida ilipoanza.
Ukiona watu wanaingiza dini basi kichwani ni watupu. Ukumbuke palestina kabla ya taifa la Israel watu wa dini zote tatu waliishi vizuri kabisa
 
Narudia tena kusema wewe km ni dokta basi ni dokta uchwara na mbumbumbu! Yaani watu washinde kihalali Kwa majority votes halafu wawe magaidi Rudi shule ukasome fala wewe
Kuna Waislamu ubwabwa.
 
Nikiangalia michango ya watu humu JF, nashindwa kuelewa kama hii Vita kati ya Hamas na Israel ni Vita ya kidini ama ni Vita kati ya Taifa na Taifa!!??

Nani hasa anayejua hii vita inahusu nini???

Hii vita inahusiana Vipi na vita kati ya Wafilisti na waisrael??

Uislam na Ukristo unahusikaje na hii vita??

Hii ni Vita kati ya Wayahudi na Waarabu au ikoje??
Ni vita kati ya taifa la Israeli na kundi la HAMAS
 
Nikiangalia michango ya watu humu JF, nashindwa kuelewa kama hii Vita kati ya Hamas na Israel ni Vita ya kidini ama ni Vita kati ya Taifa na Taifa!!??

Nani hasa anayejua hii vita inahusu nini???

Hii vita inahusiana Vipi na vita kati ya Wafilisti na waisrael??

Uislam na Ukristo unahusikaje na hii vita??

Hii ni Vita kati ya Wayahudi na Waarabu au ikoje??
Vita ya Hamas na Israel ni ya kugombania uhuru wa ardhi wala sio ya kidini.
Ila wakristo wa Tanzania wasiojielewa wanaigeuza kuwa vita ya kidini.
Ukiwa muarabu uwe muislam ama mkristo ama mpagani ukiwa dhidi ya Israel au uyahudi wewe unalimwa risasi.
Ndani ya Israel august Kuna makanisa zaidi ya Tano yamevunjwa kimakusudi Ili kujenga makazi ya kiyahudi.
Toka 1947 ugomvi wa Waarabu na waisrael ni ardhi.
Na haikuvamiwa tu Palestina mpaka Lebanon ilivamiwa na hata hizbollah unayoisikia Ina askari mpaka wapagani wanayoilinda Lebanon dhidi ya Israel.
Kama ingekua vita ya uislam na ukristo wakristo wasingevunjiwa makanisa ndani ya Israel,makanisa yasingekua yanashambuliwa na wayahudi Israel,wakristo wasingekua wanauliwa ndani na nje ya Israel.
UKITAKA UWE ADUI WA ISRAEL WE HATA UWE DINI GANI NENDA KINYUME NA ITIKADI YA TAIFA TEULE LA ISRAEL.
 
PLO ndio platform Sahihi ya Wapalestina kupata Taifa Lao, lakini kikwazo kikubwa ni magaidi wa Hamas ambao upande wa Gaza walishinda kihalali kushika hatamu za uongozi.

Kwahiyo ni watu wa Gaza wenyewe ndio walichaguwa kuongozwa na magaidi, sasa hichi kikombe ni halali yao wakinywe
Huna unachokijua kaa kimya,, Hamas imeundwa 1984 na imeanza kupata nguvu miaka ya 1995, lkn vita ilianza 1948 pale tu marekani na mashost zake wakiingereza walipoipachika rasmi taifa la Israel pale mashariki ya kati,, sasa kama tatizo ni Hamas kama usemavyo je mwaka 1948,1967,1972 katika hizo vita zote Hamas ilikuwepo?
 
Huna unachokijua kaa kimya,, Hamas imeundwa 1984 na imeanza kupata nguvu miaka ya 1995, lkn vita ilianza 1948 pale tu marekani na mashost zake wakiingereza walipoipachika rasmi taifa la Israel pale mashariki ya kati,, sasa kama tatizo ni Hamas kama usemavyo je mwaka 1947,1967,1972 katika hizo vita zote Hamas ilikuwepo?
Akikujibu unitag MKUU
 
Back
Top Bottom