Wakiristo wengi wanasimama na Isreal unajua kwanini?Hii ni vita kati ya Israel na Gaza, lakini itikadi za kidini zinaingia kwa sababu ndio chimbuko la Ukristo kwa hiyo wakristo walio wengi wanasimama na Israel kwa mujibu wa maandiko, waislamu (hasa wa africa) wana amini hao waarabu wa palestina ni ndugu zao katika Imani hivyo wanasimama upande wao, hapo ndipo hisia za kidini zinapo zawaliwa kwenye hiyo vita
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Quran)