Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Issue ya Israel na Palestina NI ugomvi wa Ardhi, hakuna mahusiano yoyote na dini.Nikiangalia michango ya watu humu JF, nashindwa kuelewa kama hii Vita kati ya Hamas na Israel ni Vita ya kidini ama ni Vita kati ya Taifa na Taifa!!??
Nani hasa anayejua hii vita inahusu nini???
Hii vita inahusiana Vipi na vita kati ya Wafilisti na waisrael??
Uislam na Ukristo unahusikaje na hii vita??
Hii ni Vita kati ya Wayahudi na Waarabu au ikoje??
Wakiristo na wayahudi dhidi ya uislam na waislamNikiangalia michango ya watu humu JF, nashindwa kuelewa kama hii Vita kati ya Hamas na Israel ni Vita ya kidini ama ni Vita kati ya Taifa na Taifa!!??
Nani hasa anayejua hii vita inahusu nini???
Hii vita inahusiana Vipi na vita kati ya Wafilisti na waisrael??
Uislam na Ukristo unahusikaje na hii vita??
Hii ni Vita kati ya Wayahudi na Waarabu au ikoje??
Palestina hakuna wakristo!!???Wakiristo na wayahudi dhidi ya uislam na waislam
Chizi huyo.Palestina hakuna wakristo!!???
Walengwa ni waislam. Hao wameingia kati tu. Unaona Ukraine nchi wenye wakiristo wengi wanavyopigwa na urusi unasikia dunia? Palestina wangalikuwa wakiristo wengi dunia ingalipiga kelelePalestina hakuna wakristo!!???
Unasikia ukrain kwa sababu ya ukiristo wao?Chizi huyo.
18% ya waisrael ni waislam,na wako front kwenye hii vita kupigania nchi yaoIssue ya Israel na Palestina NI ugomvi wa Ardhi, hakuna mahusiano yoyote na dini.
Wapumbavu wengi wengi hawajui kama Kuna Waislamu waisrael.
PLO ndio platform Sahihi ya Wapalestina kupata Taifa Lao, lakini kikwazo kikubwa ni magaidi wa Hamas ambao upande wa Gaza walishinda kihalali kushika hatamu za uongozi.
Kwahiyo ni watu wa Gaza wenyewe ndio walichaguwa kuongozwa na magaidi, sasa hichi kikombe ni halali yao wakinywe.
Kabla hujawalaumu Israel jiulize Kwanza Palestina ni Gaza Tu? Mbona kwingine maisha yanaendelea Kwa Amani?
Wapo Wengi tuPalestina hakuna wakristo!!???
Hivi kuna uhusiano gani Kati ya uislamu na ujinga? inanipa shida kwakweli, hii dini imeaccomadate wajinga wengi Sana worldwide.Walengwa ni waislam. Hao wameingia kati tu. Unaona Ukraine nchi wenye wakiristo wengi wanavyopigwa na urusi unasikia dunia? Palestina wangalikuwa wakiristo wengi dunia ingalipiga kelele
Wananukuu biblia ambayo Leo Christmas inasomwa makanisani. Halafu kuna machizi wanataka tusiamini kwamba vita vya kidiniWaziri wa ulinzi wa Israel alisema wataishughulikia Hamas kwa mujibu wa maandiko
Sijajua ni maandiko gani!
Israel hamna ukristo,kwanza huyo yesu waisrael awamuamini hata kidogoWakiristo na wayahudi dhidi ya uislam na waislam
Acha jazba. Hivyo vita vya kidini. Angalia ukrain ICC ilivyopiga kelele? Usitufanye wajinga kama wakoHivi kuna uhusiano gani Kati ya uislamu na ujinga? inanipa shida kwakweli, hii dini imeaccomadate wajinga wengi Sana worldwide.
Wangalikuwa wengi ICC ingalikuwa ishaunda tume. UNO ungalisikia. Husikiu Ukrain?Wapo Wengi tu
Ona ulivyo mjinga na tutusa kabisa, Jews wanatumia Biblia?Wananukuu biblia ambayo Leo Christmas inasomwa makanisani. Halafu kuna machizi wanataka tusiamini kwamba vita vya kidini
Mjinga wewe. Umesikia ukrain nchi yenye wakiristo wengi ICC inavyohahaha?Ona ulivyo mjinga na tutusa kabisa, Jews wanatumia Biblia?
Hiyo Torati iliyopo kwenye Tanakh si hata kwenye Quran ipo?
Stupid ( in Samia voice)
Malaria Sugu imepanda kichwani.Acha jazba. Hivyo vita vya kidini. Angalia ukrain ICC ilivyopiga kelele? Usitufanye wajinga kama wako