Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Shida ni waislamu wenyewe wanapenda kuingiza udini wenyewe kutafuta hurumaNikiangalia michango ya watu humu JF, nashindwa kuelewa kama hii Vita kati ya Hamas na Israel ni Vita ya kidini ama ni Vita kati ya Taifa na Taifa!!??
Nani hasa anayejua hii vita inahusu nini???
Hii vita inahusiana Vipi na vita kati ya Wafilisti na waisrael??
Uislam na Ukristo unahusikaje na hii vita??
Hii ni Vita kati ya Wayahudi na Waarabu au ikoje??
Maandiko ya kiyahudiWaziri wa ulinzi wa Israel alisema wataishughulikia Hamas kwa mujibu wa maandiko
Sijajua ni maandiko gani!
Ndio umeongea niniIssue ya Israel na Palestina NI ugomvi wa Ardhi, hakuna mahusiano yoyote na dini.
Wapumbavu wengi wengi hawajui kama Kuna Waislamu waisrael.
PLO ndio platform Sahihi ya Wapalestina kupata Taifa Lao, lakini kikwazo kikubwa ni magaidi wa Hamas ambao upande wa Gaza walishinda kihalali kushika hatamu za uongozi.
Kwahiyo ni watu wa Gaza wenyewe ndio walichaguwa kuongozwa na magaidi, sasa hichi kikombe ni halali yao wakinywe.
Kabla hujawalaumu Israel jiulize Kwanza Palestina ni Gaza Tu? Mbona kwingine maisha yanaendelea Kwa Amani?
Anajua kuropoka tu huyo hajui lolote Westbank leo hii kuna watu wamekufa na wengine wametekwa na magaidi ya kizayuni ya israhellWewe unafualitila habar au unasema tu. West Bank hapajatilia pia israel inawauwa wapelistina pia fuatikia Habari upate uelewa mwaka huu tu wapelistina 243 wameuliwa west bank
Hakuna sehem waislam wanatafuta hurumaShida ni waislamu wenyewe wanapenda kuingiza udini wenyewe kutafuta huruma
Kuna Waislamu ubwabwa.Mtu mjinga pekee ndiye atakaye husisha Vita hivi na dini. Huu ni ugomvi wa kisiasa. Kuna watu walikuwa wanataifa lao linaloitwa palestina limeishi kwa miaka mingi Sana hadi hiyo miaka ya 1940's hapo ndipo shida ilipoanza.
Ukiona watu wanaingiza dini basi kichwani ni watupu. Ukumbuke palestina kabla ya taifa la Israel watu wa dini zote tatu waliishi vizuri kabisa
Narudia tena kusema wewe km ni dokta basi ni dokta uchwara na mbumbumbu! Yaani watu washinde kihalali Kwa majority votes halafu wawe magaidi Rudi shule ukasome fala wewe
Ni vita kati ya taifa la Israeli na kundi la HAMASNikiangalia michango ya watu humu JF, nashindwa kuelewa kama hii Vita kati ya Hamas na Israel ni Vita ya kidini ama ni Vita kati ya Taifa na Taifa!!??
Nani hasa anayejua hii vita inahusu nini???
Hii vita inahusiana Vipi na vita kati ya Wafilisti na waisrael??
Uislam na Ukristo unahusikaje na hii vita??
Hii ni Vita kati ya Wayahudi na Waarabu au ikoje??
Hivi kuna uhusiano gani Kati ya uislamu na ujinga? inanipa shida kwakweli, hii dini imeaccomadate wajinga wengi Sana worldwide.kwahiyo Papa ndio mwenye elimu Kwa kuwa amebariki Ushoga?
Vita ya Hamas na Israel ni ya kugombania uhuru wa ardhi wala sio ya kidini.Nikiangalia michango ya watu humu JF, nashindwa kuelewa kama hii Vita kati ya Hamas na Israel ni Vita ya kidini ama ni Vita kati ya Taifa na Taifa!!??
Nani hasa anayejua hii vita inahusu nini???
Hii vita inahusiana Vipi na vita kati ya Wafilisti na waisrael??
Uislam na Ukristo unahusikaje na hii vita??
Hii ni Vita kati ya Wayahudi na Waarabu au ikoje??
Huna unachokijua kaa kimya,, Hamas imeundwa 1984 na imeanza kupata nguvu miaka ya 1995, lkn vita ilianza 1948 pale tu marekani na mashost zake wakiingereza walipoipachika rasmi taifa la Israel pale mashariki ya kati,, sasa kama tatizo ni Hamas kama usemavyo je mwaka 1948,1967,1972 katika hizo vita zote Hamas ilikuwepo?PLO ndio platform Sahihi ya Wapalestina kupata Taifa Lao, lakini kikwazo kikubwa ni magaidi wa Hamas ambao upande wa Gaza walishinda kihalali kushika hatamu za uongozi.
Kwahiyo ni watu wa Gaza wenyewe ndio walichaguwa kuongozwa na magaidi, sasa hichi kikombe ni halali yao wakinywe
Akikujibu unitag MKUUHuna unachokijua kaa kimya,, Hamas imeundwa 1984 na imeanza kupata nguvu miaka ya 1995, lkn vita ilianza 1948 pale tu marekani na mashost zake wakiingereza walipoipachika rasmi taifa la Israel pale mashariki ya kati,, sasa kama tatizo ni Hamas kama usemavyo je mwaka 1947,1967,1972 katika hizo vita zote Hamas ilikuwepo?