Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
Ila majangili wanafaa, sioUko sahihi tuliekaa karibu na mbuga au mapori ya akiba tujua Hilo
1. Ukikutwa na Kuni wewe ni jangingiri
2. Ukikutwa na mjusi wewe ni jangingiri
3. Ukikutwa na mbao ndio usiseme
Askari wanyama pori hawafai kuliko Askari yeyote Duniani nasema tena hawafaiiii
Majangili hawafai ila ninachokizungumzia hapa Ni mambo mawiliIla majangili wanafaa, sio
Kwani huyo jangili amebeba Kitabu au filimbi?Mkuu hao askali si wana silaha vipi wanazidiwa?
Dr Titus mstaafu mlenga shabaha ......Nyati msikie tu, bora ukitane na pride ya simba ila sio nyati nakumbuka miaka hiyo nilipokuwa nafanya tafiti katika mbuga ya Serengeti ile wakati wa kufanya darting kuna mzungu mmoja alikoswa koswa kupigwa pembe..
hapo mshahara wao hata milioni 1 haufiki.alafu wanalinda Mali za mabilion.Duuh ila mwenye silaha anaogopeka japo majangiri huwa na siraha.. askali wanyama pori ni kujitoa kweli an
wale wasenge wanaoga sana mitishamba. ukiwashinda kwa bunduki,ngumi na mateke, wanakushinda kwa uchawi.Yani natamanigi Sana mazali kama haya yakukutana na majangili porini huko tena usiku. Huo mkono nitakaoutembeza maamaeee nitaacha historia na alama ya kudumu. Asante mleta mada Lazima sasa hivi nizame chaka niitendee haki black belt yangu.
Humu kuna watu wanasema tu hawajui maisha ya porini ni vita rasmi. tulikamata mzee ana miaka kama sikosei 75+ nikakaa nae chemba kumuuliza maswali akasema yeye maisha yake ni porini hajui lolote maishani mwake ni Jangili mbobezi. Nikatoa ushauri tumuachie tukansindikiza mpaka kijijini kwake.Siku nafanya zangu boat na wageni ziwa manze pale selous mgeni akaona mtu kichakani kwa mbali,alivyonitonya kuchukua binocular nikaona njema kama tano hivi zimelala na gobole zao standby asee nileguza chap boat camp.
Sikukumbuka hata kama nina radio call
Baadae tukio hili lilikuja kuniletea tatizo pale kazini
Sio kwa nyati mpweke binadamu anasubjri sana huyo kiumbe ni bora ukutane na kundi lao ila sio nyati mmojaMnyama ni rahisi kumdhibiti kuliko binadamu,
Mkuu hao askali si wana silaha vipi wanazidiwa?
Kuna mkasa ule wa Mkuu wa Polisi Loliondo marehemu Kong'oa. Alienda mbugani nadhani ilikuwa Ngorongoro wakafanikiwa kukamata Majangili kumbe kuna wengine wamejificha kuna mmoja alikohoa jangili akainama mzee alifumuliwa gobore la kifuani. Ikabidi JWTZ waingie msituni. Jangili yeye anachojua ni kuwa kaingia vitani maisha yake kayakabidhi Wanyama na askari pori.Mkuu inatokea kuna majangili wako vzr shabaha alafu unakuta wameanza kuwaona nyie wakiwakurupua lazima waangushe wawili watatu mkuu
Na majangili wanako waina mbili wenye silaha za moto na silaha sizizo na moto kama mshale ect
Kama sikosei mwishoni mwa miaka 90 hiyo alikuwa OCD. Ni kweli alikohoa. Majangili wa Ngorongoro walikuwa ni balaa hawafai. Sema nao waliuwawa sana.Kuna mkasa ule wa Mkuu wa Polisi Loliondo marehemu Kong'oa. Alienda mbugani nadhani ilikuwa Ngorongoro wakafanikiwa kukamata Majangili kumbe kuna wengine wamejificha kuna mmoja alikohoa jangili akainama mzee alifumuliwa gobore la kifuani. Ikabidi JWTZ waingie msituni. Jangili yeye anachojua ni kuwa kaingia vitani maisha yake kayakabidhi Wanyama na askari pori.
UmesahauUko sahihi tuliekaa karibu na mbuga au mapori ya akiba tujua Hilo
1. Ukikutwa na Kuni wewe ni jangingiri
2. Ukikutwa na mjusi wewe ni jangingiri
3. Ukikutwa na mbao ndio usiseme
Askari wanyama pori hawafai kuliko Askari yeyote Duniani nasema tena hawafaiiii
Oss black belt 🥋 ya mchezo gani MkuuYani natamanigi Sana mazali kama haya yakukutana na majangili porini huko tena usiku. Huo mkono nitakaoutembeza maamaeee nitaacha historia na alama ya kudumu. Asante mleta mada Lazima sasa hivi nizame chaka niitendee haki black belt yangu.