K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
Habari hiyo ina ukweli japo wengi wameamua kumbishia mtoa hoja hapo juu kwa vile wameguswa panapouma na ukweli hawataki kuusikia.
Kuna kipindi flani eneo flani, Paroko alitaka kuwafukuza Wakarismatiki kanisani kwake, ikazua taharuki isiyo ya kawaida.
Bahati nzuri huyo Paroko alikuwa na urafiki wa karibu na Mchungaji flani wa Anglikana, akaenda kuomba ushauri kwake juu ya sintofahamu hiyo, yule Mchungaji akamshauri asiwafukuze bali awaruhusu waendelee na huduma yao bila wao kuingilia taratibu za Misa.
Baada ya hapo kulitulia na amani kiasi ikapatikana.
Kwa ujumla Wakarismatiki ni Walokole walioamua kumtafuta Kristo kwa bidii kupitia miongozo ya Biblia huku wakikinzana na baadhi ya mafundisho ya Kanisa ambayo hayampi Mungu utukufu.
Migogoro ni mingi.
Gautten Potten