Vita Kati ya Wakatoliki na Ndugu zao Charismatic

Vita Kati ya Wakatoliki na Ndugu zao Charismatic

Imani katoliki haijakataza pombe, maana hata Yesu na wanafunzi wake walikuwa wanakunywa,kwani muujiza wa kwanza wa Yesu ulikuwa kubadilisha maji kuwa divai
Kileo== Divai ?
Muujiza wa Divai == Kuivisha Pombe ?😂
Warumi mnashida, Ila sishangai Kwan mzee Papa Aliita Scotch Spirit Holly water
 
Kileo== Divai ?
Muujiza wa Divai == Kuivisha Pombe ?😂
Warumi mnashida, Ila sishangai Kwan mzee Papa Aliita Scotch Spirit Holly water
Kuna sehemu aliivisha pombe? May be tunasoma biblia tofauti.....?

Kwani Divai nini? Nyie ambao sio warumi........ (Sijui mlokole/Msabato ........)

Kwa jinsi nikikusoma kwa line bila shaka utakuwa kundi la wale waliotaka kusafiri ulaya bila passport wala nauli maana wao moja shida yao ni Papa.
 
Kwa jinsi nikikusoma kwa line bila shaka utakuwa kundi la wale waliotaka kusafiri ulaya bila passport wala nauli maana wao moja shida yao ni Papa.
Hujajibu swali unaulizwa swali that's a clear Dodge.
Toka mwanzo Nakuonaga unapokimbilia ili kujificha.
 
Kuna siku tupo kwa shangazi tunasali,wakati wa maombi mojawapo ya washiriki akatamka maneno "MUNGU BABA,NAKUBARIKI ..........". Mimi nikashtuka. Baadae nikamuuliza shangazi,haya maneno imekaaje mbona nimesikia baadhi ya washiriki wanayatamka?

Shangazi na yeye nikaona kabisa kuwa yale maneno yamemstua na hajayaelewa ila amekubaliana nayo kwasababu ni maneno ambayo viongozi au washiriki wa kikundi chao huko wanaposali cha charismatic huwa wanatamka na ni kawaida. Mimi nikahoji kusema MUNGU baba ninakubariki,binadamu unaanzaje kumbariki MUNGU?

Aisee nikamwambia shangazi, mimi ninapenda kushiriki na watu kiimani ila sababu huwa sipendi kusali na makundi ya watu ni kwasababu ya upuuzi kama huu. Hawa watu wana ajenda yao hawa sio bure.
 
Halafu wanaosababisha hizi kelele ni wanawake kwenye makanisa. Wanawake hawanaga utulivu wa kiakili popote walipo lazima walete mambo ya kisengesenge.

Sasa unajua kuwa Roman Catholic wana utaratibu wao wa kusali rozari kawaida na kuishi maisha yao kwa kufuata kanuni zao za kikatoliki.

Ila sasa wanawake waponvery fragile eneo la imani ile kusali bila kupiga piga makelele kama wendawazimu,kugalagala sakafuni wanaona bado hawajasali kabisa.

Wanakwenda sana kwenye hayo makanisa ya kilokole ila sasa wanaona aibu sababu wamekiri imani yao kuwa ya kikatoliki na siku kama jumapili ni ngumu kujigawa watakwenda wapi maana inakuwa kazi mtu asali kanisa moja then apande gari aende kanisani kwa mwamposa mwishowe anakosa siti nzuri ya kukaa wakati wa ibada.

Kusolve hilo ndio wanaanza kufosi na hapa Roman Catholic waanze kuwasikiliza na wao waanze kuanzisha vikundi vya sala ambazo kanisa katoliki linavibariki kwa kisingizio kwamba kama wasipoanzisha watawakosa waumini wengi sana.
 
Binafsi sasa hivi siendi kabisa kanisani ila nnajitahidi sana kuwa mwema kwa kadiri ya uwezp wangu kama binadamu hizi mbwembwe nyingine kiukweli nimechoka
 
Hujajibu swali unaulizwa swali that's a clear Dodge.
Toka mwanzo Nakuonaga unapokimbilia ili kujificha.
Nikimbie nikuogope ili iweje......wakati nimerefer kutoka kwenye injili? Nakuona unaleta ngonjera za mitandao bila reference,huna tofauti na wazee waliotaka kusafiri ulaya bila viza wala passport.Mara Scotch mara Pope yaani huna tofauti na wale Masalia.

Mbona Divai ni kileo (inazlishwa kutokana na fermentation ya grape/dhabibu) au ww kwako ni divai nini?(weka na reference) na si uhamishe magoli.NAKUSUBIRI mimi siogopagi wazushi kama nyie.
 
View attachment 3176372Kwa Muda mrefu nimekuwa nikiona shida Kati ya Jamii hizi mbili yaan ni Bonge la ugomvi

Kanisa limeweka zuio la Mkarismatic yoyote kutokuingia ndani ya Jengo

Kupishana kwao kupo wazi.
Kanisa linadai lipo sahihi kwa kile wanachosimamia na kukifuata Kama maagizo toka Ufalmeni Charismaz wanapindua order hiyo na kudai ubatili.

Asubuhi nilikuta mvutano na baadhi ya vimaswali Kama Kanisa Haliponyi Wagonjwa, Halitoi Mapepo Wala halihubiri injili ipasavyo na badala wanaenda kinyume mbona hawajioni ?

Nilipouliza zaidi mmoja akanijibu kwa swali Tata

Ndugu Trevor kwanini Wale Viziwi pale benchi la Mbele hawaponywi na badala yake wanaletewa Mtafsiri wa lugha ya Mwili na alama, Kuna Mungu hapa ?

Je, kama yupo mbona sioni maana ya ile ruhus ya kuponya vipofu, Viziwi na wengine ikitumika

ila Sisi tukitoa Mapepo na kuwaombea wagonjwa viongozi na waumini wasema Hy wapelekeeni walokole huko na wanakuja juu vibay mno

Je, Biblia inasema Nini juu ya hy tufanyayo, Ni haramu?

Sikuwa na la kujibu
Kazi kwenu.
msiwe na maneno mengi,sasa nyie wafuateni hao viziwi na bubu nyumbani kwao mkawaponye na jumapili ijayo wakae viti vya mbele halafu huyo kiongozi wa dini atakuwa kapata jibu kwa vitendo na kanisa kwa ujumla,vinginevyo mnapiga blabla tu
 
msiwe na maneno mengi,sasa nyie wafuateni hao viziwi na bubu nyumbani kwao mkawaponye na jumapili ijayo wakae viti vya mbele halafu huyo kiongozi wa dini atakuwa kapata jibu kwa vitendo na kanisa kwa ujumla,vinginevyo mnapiga blabla tu
Fanyeni mnavyohubiri na Sio Porojo .
Jamaa wameongea ukweli.
 
Mbona Divai ni kileo (inazlishwa kutokana na fermentation ya grape/dhabibu) au ww kwako ni divai nini?(weka na reference) na si uhamishe magoli.NAKUSUBIRI mimi siogopagi wazushi kama nyie.
Huna akili
Umekaa unafananishi kilicho fanywa ghafla kile kinachofanya kwa process ya Muda mrefu

Najua huwez kuelew nilicho andika hap
 
Huna akili
Umekaa unafananishi kilicho fanywa ghafla kile kinachofanya kwa process ya Muda mrefu

Najua huwez kuelew nilicho andika hap
We kima kweli, kwani process zote hizo mbili output yake nini?.

Kwani wanavyosema alicho fanya ni muujiza wanamaanisha nini?,we kiazi ujue......haya kasome tena biblia karamu ya mwisho aliyo ifanya na mitume kabla ya safari ya mateso, ile divai ilipatikana baada ya process ya mda mrefu au mfupi?

Unapayuka payuka huna reference na najua huna akili ya kuelewa nilicho andika,huna tofauti na mbeya kwani huna unacho kijua.
 
Kwa Muda mrefu nimekuwa nikiona shida Kati ya Jamii hizi mbili yaan ni Bonge la ugomvi
Kanisa limeweka zuio la Mkarismatic yoyote kutokuingia ndani ya Jengo
Hakuna vita, usipotoshe. Vita ya Kanisa na chama chake cha Kitume? Ungeitaja Parokia ingekaa vizuri, pengine ungepata ufafanuzi lipi hasa ni kosa lao. Lakini Charismatic ni chama cha Kitume na kinakubalika ndani ya Kanisa kama vyama vingine mfano Moyo Mtakatifu wa Yesu, Legio Maria, WAWATA, UWAKA, VIWAWA nk. Pengine kuna jambo walilifanya, lakini Charismatic ni sehemu ya vyama vya Kitume vya Kanisa Katoliki
 
Back
Top Bottom