Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
- Thread starter
-
- #61
Kileo== Divai ?Imani katoliki haijakataza pombe, maana hata Yesu na wanafunzi wake walikuwa wanakunywa,kwani muujiza wa kwanza wa Yesu ulikuwa kubadilisha maji kuwa divai
Kuna sehemu aliivisha pombe? May be tunasoma biblia tofauti.....?Kileo== Divai ?
Muujiza wa Divai == Kuivisha Pombe ?😂
Warumi mnashida, Ila sishangai Kwan mzee Papa Aliita Scotch Spirit Holly water
Hujajibu swali unaulizwa swali that's a clear Dodge.Kwa jinsi nikikusoma kwa line bila shaka utakuwa kundi la wale waliotaka kusafiri ulaya bila passport wala nauli maana wao moja shida yao ni Papa.
Nikimbie nikuogope ili iweje......wakati nimerefer kutoka kwenye injili? Nakuona unaleta ngonjera za mitandao bila reference,huna tofauti na wazee waliotaka kusafiri ulaya bila viza wala passport.Mara Scotch mara Pope yaani huna tofauti na wale Masalia.Hujajibu swali unaulizwa swali that's a clear Dodge.
Toka mwanzo Nakuonaga unapokimbilia ili kujificha.
msiwe na maneno mengi,sasa nyie wafuateni hao viziwi na bubu nyumbani kwao mkawaponye na jumapili ijayo wakae viti vya mbele halafu huyo kiongozi wa dini atakuwa kapata jibu kwa vitendo na kanisa kwa ujumla,vinginevyo mnapiga blabla tuView attachment 3176372Kwa Muda mrefu nimekuwa nikiona shida Kati ya Jamii hizi mbili yaan ni Bonge la ugomvi
Kanisa limeweka zuio la Mkarismatic yoyote kutokuingia ndani ya Jengo
Kupishana kwao kupo wazi.
Kanisa linadai lipo sahihi kwa kile wanachosimamia na kukifuata Kama maagizo toka Ufalmeni Charismaz wanapindua order hiyo na kudai ubatili.
Asubuhi nilikuta mvutano na baadhi ya vimaswali Kama Kanisa Haliponyi Wagonjwa, Halitoi Mapepo Wala halihubiri injili ipasavyo na badala wanaenda kinyume mbona hawajioni ?
Nilipouliza zaidi mmoja akanijibu kwa swali Tata
Ndugu Trevor kwanini Wale Viziwi pale benchi la Mbele hawaponywi na badala yake wanaletewa Mtafsiri wa lugha ya Mwili na alama, Kuna Mungu hapa ?
Je, kama yupo mbona sioni maana ya ile ruhus ya kuponya vipofu, Viziwi na wengine ikitumika
ila Sisi tukitoa Mapepo na kuwaombea wagonjwa viongozi na waumini wasema Hy wapelekeeni walokole huko na wanakuja juu vibay mno
Je, Biblia inasema Nini juu ya hy tufanyayo, Ni haramu?
Sikuwa na la kujibu
Kazi kwenu.
Fanyeni mnavyohubiri na Sio Porojo .msiwe na maneno mengi,sasa nyie wafuateni hao viziwi na bubu nyumbani kwao mkawaponye na jumapili ijayo wakae viti vya mbele halafu huyo kiongozi wa dini atakuwa kapata jibu kwa vitendo na kanisa kwa ujumla,vinginevyo mnapiga blabla tu
Huna akiliMbona Divai ni kileo (inazlishwa kutokana na fermentation ya grape/dhabibu) au ww kwako ni divai nini?(weka na reference) na si uhamishe magoli.NAKUSUBIRI mimi siogopagi wazushi kama nyie.
We kima kweli, kwani process zote hizo mbili output yake nini?.Huna akili
Umekaa unafananishi kilicho fanywa ghafla kile kinachofanya kwa process ya Muda mrefu
Najua huwez kuelew nilicho andika hap
Hakuna vita, usipotoshe. Vita ya Kanisa na chama chake cha Kitume? Ungeitaja Parokia ingekaa vizuri, pengine ungepata ufafanuzi lipi hasa ni kosa lao. Lakini Charismatic ni chama cha Kitume na kinakubalika ndani ya Kanisa kama vyama vingine mfano Moyo Mtakatifu wa Yesu, Legio Maria, WAWATA, UWAKA, VIWAWA nk. Pengine kuna jambo walilifanya, lakini Charismatic ni sehemu ya vyama vya Kitume vya Kanisa KatolikiKwa Muda mrefu nimekuwa nikiona shida Kati ya Jamii hizi mbili yaan ni Bonge la ugomvi
Kanisa limeweka zuio la Mkarismatic yoyote kutokuingia ndani ya Jengo