Vita kuu ya tatu imekaribia, maandalizi yamekamilika, dunia kupata mtawala baada ya machafuko

Wazee wameikutahiostory na sisi tutaiacha
Wazee Hawajaikuta history Bali wameacha history, na yote waliyo yasema na kuandika kuhusu nyakati za sasa, yametimia na yanazidi kutimia.
 
Middle East na uislam mnajipa umuhimu msio kuwa nao, hawana chochote zaidi ya ujinga mafuta ambayo soon mchina atamaliza kwa electric cars, acha Israel awachape akili zitarudi
 
"Wakati taifa la Marekani likiwa halina ulinzi wa kutosha, hapo ndipo vikosi vya UN vitaingia Marekani na kuchukua mamlaka."

Nikuombe uutunze huu uzi wako tuurejee muda muafaka mbinguni au hapa duniani.
Yaan UN ambayo kwa % kubwa iko chini ya USA then ije ikamate USA? 😀😀😀, hivi ninyi hata shule mlienda kweli?

Ni sawa na kusema Umoja wa nchi za Afrika AU ambao ni zaidi ya nchi 50 ziungene mybe kuiangusha Tz ambayo nayo ni mmoja wa member, hata huu mfano haupendezi sana kuufananisha na hiko kitu.

UN ni shirika linaloongozwa kwa maslahi ya USA na baadhi ya wamagharibi, pili hata sapoti na misaada, na maamuzi hutolewa na wao, inawezekana vip wajiangushe wao wenyewe?

Tumien akili jamani, wenzenu wakati wakisoma nyie mlikuwa bize madrasa/sunday school kudamganywa na hao walimu wenu vilaza
 
Ni nani anayewatumia hao UN vibaya kama sio USA na washirika wake!?
Yes wanasiasa ndio wanaendesha dunia kwasababu wao ndio wana mamlaka.
Hivi umesahau serikali ya USA ilimfirisi vipi John Rockefeller!??
Mwanasiasa ana mamlaka ambayo inaidhibiti hiyo pesa uliyonayo wewe tajiri.
 
Middle East na uislam mnajipa umuhimu msio kuwa nao, hawana chochote zaidi ya ujinga mafuta ambayo soon mchina atamaliza kwa electric cars, acha Israel awachape akili zitarudi
Waonekana umtoto sana aisee.
Hivi unajua betri za magari ya umeme zinaundwa kwa material gani!?
Material zinazotumika kuundia hizo betri zinaharibu mazingira kuliko hata uchimbaji na utumiaji wa mafuta.
Na bado kuna nishati nyingi tu zinahitaji mafuta bado.
Hususan huo umeme wa kuchaji hizo gari za umeme.
 
Niko tofauti na wengine , naona kama ni vita basi UN wana lawama kubwa .

Vikwazo , mtu kapiga kambi ya jeshi ana vikwazo kama 10 hivi , mtu ambaye kapiga balozi ,shule , sehemu za ibada , kaua watoto na wanawake zaidi 30,000 hana hata kikwazo kimoja .
 

Mkuu ulitambua kwa Nini Aya hiyo ilikuwa kwenye italics?

Ulitambua hayo hayakuwa maneno yàngu?

Bob Manson kuna wito wako huku!
 
Alafu kuna watu wanasema UN ni mkombozi au mlinzi wa amani....
 
Hakuna anaye itumia UN vibaya bali UN wanajua wanacho kufanya na lengo lao.

Mkuu acha ubishi, wanasiasa hawana lolote zaidi ya hizo nafasi zao, na wanawekwa kwenye hizo nafasi na matajiri ndyo maboss zao.

Dunia inaongozwa na matajiri wala sio wanasiasa, wanasiasa wanaenda kuomba msaada IMF na WB, Unajua hizo bank zinamilikiwa na nani?
 
Mkuu sibishani ila naona umejaza conspiracy kuliko uhalisia.
Ndio maana nikakuuliza kwanza unakumbuka nani alimfirisi John Rockefeller kama sio serikali yake ya USA!?
Huyo tajiri anakuaje tajiri pasi na kuundwa kwa mifumo na taasisi!?
Na hiyo mifumo na taasisi huongozwa na nani kama sio wanasiasa!?
Punguza conspiracy mkuu.

Kama USA haitumii UN nani aliamuru kuwepo na UNIFIL Lebanon 2006!?
 
Naujga mkono hoja ila kwenye namna dunia itakavyotawsliwa sivyo ulivyonena.

Nchi zitasambaratika na great reccession itajiri, mashariki itashika usukani, kusini itageuka kimbilio.

Ulaya imeshaanza kuanguka ndo maana inaanza kujiondoa kuunga mkono Israel....

Tanzania kama bado tutaendelea kuwa MAZUZU kama sasa, watauawa raia wengi kama kafara ili watawala waendelee kudumu na vizazi vyao
 
Unajua maana ya conspiracy mkuu? Sio nadharia bali ni ukweli, ukisema nipunguze means niache kuongea ukweli....

Rockefeller aliingia kwenye conflict na serikali lakini hajawahi firisiwa, hakuna aliye juu ya Rockefeller na Rothschilds kwa sasa.

Hakuna mwanasiasa anayeweza kumpangia tajiri, usicho fahamu ni kwamba marais wa Marekani hawachaguliwi kwa kura, wanachaguliwa na watu wengine then kura ni kuzuga tu.



Research......
 
Mkuu umesema kama nilivyosema, point zetu hazina utofauti, mshindi na mtawala atatoka Middle east, magharibi watapoteana baada ya machafuko ndani mwao, hasa yakichochewa na wahamiaji haramu.
 
UN iko biased sana ndio hatari na mataifa makubwa yote ynajua .
Mfano UN hana sauti mbele ya Israel, na sababu anajua wamiliki na waanzilishi wa Israel ndiyo wamiliki na waanzilishi wa UN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…