Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #141
Kweli wakati bado sana, huenda tusiwepo kabisaMpaka tuoe wake wanne wote ndio ije hioo vita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wakati bado sana, huenda tusiwepo kabisaMpaka tuoe wake wanne wote ndio ije hioo vita
Wazee wameikutahiostory na sisi tutaiachaKweli wakati bado sana, huenda tusiwepo kabisa
Wazee Hawajaikuta history Bali wameacha history, na yote waliyo yasema na kuandika kuhusu nyakati za sasa, yametimia na yanazidi kutimia.Wazee wameikutahiostory na sisi tutaiacha
Yaan UN ambayo kwa % kubwa iko chini ya USA then ije ikamate USA? 😀😀😀, hivi ninyi hata shule mlienda kweli?"Wakati taifa la Marekani likiwa halina ulinzi wa kutosha, hapo ndipo vikosi vya UN vitaingia Marekani na kuchukua mamlaka."
Nikuombe uutunze huu uzi wako tuurejee muda muafaka mbinguni au hapa duniani.
Ni nani anayewatumia hao UN vibaya kama sio USA na washirika wake!?Kama bado unaamini wanasiasa wana uwezo katika dunia ya leo, umenasa kwenye mtego wao.
UN sio rafiki wa amani, ni nyoka na adui namba moja wa amani, kama unabisha tizama misimamo yao juu ya Israel na utekelezaji wake.
Tizama Congo na maeneo mengine ambayo UN wapo kama kigezo cha kulinda amani, nini wanafanya?
Waonekana umtoto sana aisee.Middle East na uislam mnajipa umuhimu msio kuwa nao, hawana chochote zaidi ya ujinga mafuta ambayo soon mchina atamaliza kwa electric cars, acha Israel awachape akili zitarudi
Yaan UN ambayo kwa % kubwa iko chini ya USA then ije ikamate USA? 😀😀😀, hivi ninyi hata shule mlienda kweli?
Ni sawa na kusema Umoja wa nchi za Afrika AU ambao ni zaidi ya nchi 50 ziungene mybe kuiangusha Tz ambayo nayo ni mmoja wa member, hata huu mfano haupendezi sana kuufananisha na hiko kitu.
UN ni shirika linaloongozwa kwa maslahi ya USA na baadhi ya wamagharibi, pili hata sapoti na misaada, na maamuzi hutolewa na wao, inawezekana vip wajiangushe wao wenyewe?
Tumien akili jamani, wenzenu wakati wakisoma nyie mlikuwa bize madrasa/sunday school kudamganywa na hao walimu wenu vilaza
Nani ni muislamu?Middle East na uislam mnajipa umuhimu msio kuwa nao,
Sio uduvi ni dagaa kambaWee kibungo UN na marekani ndo uduvi gani huo
Alafu kuna watu wanasema UN ni mkombozi au mlinzi wa amani....Niko tofauti na wengine , naona kama ni vita basi UN wana lawama kubwa .
Vikwazo , mtu kapiga kambi ya jeshi ana vikwazo kama 10 hivi , mtu ambaye kapiga balozi ,shule , sehemu za ibada , kaua watoto na wanawake zaidi 30,000 hana hata kikwazo kimoja .
Hakuna anaye itumia UN vibaya bali UN wanajua wanacho kufanya na lengo lao.Ni nani anayewatumia hao UN vibaya kama sio USA na washirika wake!?
Yes wanasiasa ndio wanaendesha dunia kwasababu wao ndio wana mamlaka.
Hivi umesahau serikali ya USA ilimfirisi vipi John Rockefeller!??
Mwanasiasa ana mamlaka ambayo inaidhibiti hiyo pesa uliyonayo wewe tajiri.
UN iko biased sana ndio hatari na mataifa makubwa yote ynajua .Alafu kuna watu wanasema UN ni mkombozi au mlinzi wa amani....
Mkuu sibishani ila naona umejaza conspiracy kuliko uhalisia.Hakuna anaye itumia UN vibaya bali UN wanajua wanacho kufanya na lengo lao.
Mkuu acha ubishi, wanasiasa hawana lolote zaidi ya hizo nafasi zao, na wanawekwa kwenye hizo nafasi na matajiri ndyo maboss zao.
Dunia inaongozwa na matajiri wala sio wanasiasa, wanasiasa wanaenda kuomba msaada IMF na WB, Unajua hizo bank zinamilikiwa na nani?
Naujga mkono hoja ila kwenye namna dunia itakavyotawsliwa sivyo ulivyonena.Enyi ndugu zangu watanzania, msiwe mashabiki na wapiga soga juu ya vita hii inayo endelea Mashariki ya kati, kwani huu ni muendelezo wa kutimia kwa vita kuu ya tatu ya dunia, vita ambayo hakuna atakaye faidika nayo si waislamu wala wakristo.
Midle East ndyo kitovu cha dunia, asili na historia ya maisha ya mwanadamu. Huko ndipo palikuwa mwanzo na patakuwa mwisho.
Vita kuu ya tatu ipo njiani, Israel Vs Arabs, Marekani ataingilia na kutoa kiasi kikubwa cha wanajeshi wake, hapo ndipo China atapata nafasi ya kuvamia Taiwan, North korea dhidi ya south.
Wakati taifa la Marekani likiwa halina ulinzi wa kutosha, hapo ndipo vikosi vya UN vitaingia Marekani na kuchukua mamlaka.
Dunia itaingia katika state of emergency, na hapo ndipo mtawala mpya atatokea, mshindi kati ya Arabs Vs Israel, na ataitawala dunia kwa sheria zake, atakaye mpinga hatoishi, na wengine kuishia magerezani.(Order out of chaos)
Ukihitaji kufahamu zaidi kuhusu vita kuu ya tatu ya dunia, fungua link hii na utajifunza zaidi.👇
WW3: How Will World War Three Affect You? Learn How To Prepare - Free Newsletter
How close are we to World War 3? Subscribe to FREE World War 3 alerts. World War 3 has been planned for decades - learn about the Conspiratorial Nature of History.www.threeworldwars.com
View attachment 3125748
Unajua maana ya conspiracy mkuu? Sio nadharia bali ni ukweli, ukisema nipunguze means niache kuongea ukweli....Mkuu sibishani ila naona umejaza conspiracy kuliko uhalisia.
Ndio maana nikakuuliza kwanza unakumbuka nani alimfirisi John Rockefeller kama sio serikali yake ya USA!?
Huyo tajiri anakuaje tajiri pasi na kuundwa kwa mifumo na taasisi!?
Na hiyo mifumo na taasisi huongozwa na nani kama sio wanasiasa!?
Punguza conspiracy mkuu.
Kama USA haitumii UN nani aliamuru kuwepo na UNIFIL Lebanon 2006!?
Mkuu umesema kama nilivyosema, point zetu hazina utofauti, mshindi na mtawala atatoka Middle east, magharibi watapoteana baada ya machafuko ndani mwao, hasa yakichochewa na wahamiaji haramu.Naujga mkono hoja ila kwenye namna dunia itakavyotawsliwa sivyo ulivyonena.
Nchi zitasambaratika na great reccession itajiri, mashariki itashika usukani, kusini itageuka kimbilio.
Ulaya imeshaanza kuanguka ndo maana inaanza kujiondoa kuunga mkono Israel....
Tanzania kama bado tutaendelea kuwa MAZUZU kama sasa, watauawa raia wengi kama kafara ili watawala waendelee kudumu na vizazi vyao
Mfano UN hana sauti mbele ya Israel, na sababu anajua wamiliki na waanzilishi wa Israel ndiyo wamiliki na waanzilishi wa UN.UN iko biased sana ndio hatari na mataifa makubwa yote ynajua .