Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,351
- 9,838
Hegemony ndio sababu ya hii vita. US + NATO hawakujua wapi waishie kwenye kuitawala dunia..
Kama wangekua na heshima kidogo kwa Russia na China na North Korea, na Vietnam Basi tusingekuwa na situation tuliyonayo leo.
Naomba nianze mada na moja kichwani, Ujerumani ni bomu lisilo la kuamini!
Hiyo moja tumeweka na tutairudia.
Shida ni kwamba siandikagi makala ndefu sana kwasababu wengi ni waoga kusoma.. so ukiangalia makala Kama hii ilipaswa kuwa kubwa with facts za kutosha ila nitaifupisha.
Haraka haraka!
1. Conflict in middle East na Netanyahu amekataa every peace plan.. anasema mpaka ayafikie malengo. Yani anataka kumtoa ng'ombe posta bila kujali aliyemleta.
2. US + NATO kumruhusu Ukraine atumie sophisticated weapons and target precise munitions with long range enough to Target points inside Russia na kuzipiga with precision.
3. Direction ya diplomatic efforts za US na Russia on the ongoing situation.
4. Military preparedness ya Russia, China, Korea, Us and Nato.
5. Uongozi uliopo sasa Russia na US na malengo yao..
Kosa moja dogo litachoma dunia kwa hali ilivyo!
Na utabiri wangu hilo kosa atalifanya Ukraine...
Kwakutumia hizi sophisticated precise amunitions atampiga moja kati ya viongozi wakubwa Russia.. na hapo ndio tutaona battle of the Titans na kale kamkopo ka Korea itabidi tukatumikie.
Situation ilivyo inaakisi ww1 na ww2, hamna kiungo kilichokosekana!
Russia hataki expansion, anapinga kuzungukwa, hegemony. China anapinga hegemony..Korea anapinga hegemony..
Hawa wako pamoja kimalengo na wana silaha mpaka kwenye meno.
Sasaivi hawajaanza makabiliano ya moja kwa moja, ila kwa strike ya Ukraine Sevastopol Cremie.. tutegemee jambo!