Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukataa kwamba hauna tako haimaanishi kwamba halipoNi porojo tu hizo, hakuna cha vita vya tatu vya dunia wala nini.
Watakaopigana ndio haohao watapigana lakini huwezi kusema eti ndio vita vya tatu vya dunia kwani nchi zote haziwezi kushiriki kwenye vita vya kipumbavu visivyo wahusu.
There is nothing like the WWIII it's just a gimmick.
Africa iwe super power kivipi?.Ngoja watwangane hadi wafirisike kiuchumi. Hapo ndio itakuwa mwanzo wa Bara la Africa kuwa super power.
Tuwauzie chakulaAfrica iwe super power kivipi?.
What a stupid thing to say.Nafurahi sana hiyo vita ianze. Haiwezekani hiki kizazi kikose historia ama kumbukumbu ya kuacha kwa vizazi vijavyo.
Tunahitaji vita hii dunia iweze kukaa sawa. Tunahitaji kukwaruzana kidogo tuchangamke.
Hii Dunia toka imeumbwa imekua ya vita, haiwezekani kuzazi chetu kikose vita, miaka 80 sasa no World war, haiwezekani.
It's true. WAR IS HELL.Waliopigana WWII wakiona comment yako wanaweza kukutukana whole month.
It easy ku comment unataka vita ukiwa nyuma ya keyboard , but wazee walioshiriki WWII, after that war hawakutaka such thing ijuride tena.
They wish
Vita is not fun, is no game.
Comment vitu vinavyowezekana kufanyikaDunia ifike sehemu kila mtu aishi kwake , aache kufuatilia ya wenzie .Binadamu tumeshindwa kuishi vizuri basi kila mtu arudi kwao .
Watoe vyombo vya habari vyote vibaki kwao , waondoe elimu na lugha yao tubaki kama watanzania .
Huu muingiliano ndio chanzo cha matatizo yote.
Hakuna zaidi ya kila binadamu kuishi kivyake , vita ni chanzo cha muingiliano ni hatari sana ...Katika ulimwengu huu wa muingilano kwa race tofauti zenye mitazamo tofauti , vita ni lazima itokee.Comment vitu vinavyowezekana kufanyika
Tuwe hata na maandalizi ya kukizalisha sasa.Tuwauzie chakula
Kaangalie madhara ya vita vya nuclearNafurahi sana hiyo vita ianze. Haiwezekani hiki kizazi kikose historia ama kumbukumbu ya kuacha kwa vizazi vijavyo.
Tunahitaji vita hii dunia iweze kukaa sawa. Tunahitaji kukwaruzana kidogo tuchangamke.
Hii Dunia toka imeumbwa imekua ya vita, haiwezekani kuzazi chetu kikose vita, miaka 80 sasa no World war, haiwezekani.
Vita kuitwa ya dunia sio lazima kila eneo katika hii dunia watu wapigane...
Hiyo vita ya pili unayoongea Butiama walichangia askari...
Unajua nini kiliitokea Newzealand na nchi zote za Nordic?
Apigwe na nani kubwa jinga putin amaUkraine apigwe tu kibaraka
Kwani uko ulikotaja ni dunia au , we hujui dunia ipo wapiVita kuu zote mbili zilizopita zilikuwa Civil war in Europe fook it.
Vita ya Dunia wakati New Zealand na Butiama watu walikuwa wanakunywa chai zao kama kawa?
Hakuna vita yoyote ya Dunia