Beige
JF-Expert Member
- Dec 7, 2022
- 234
- 515
Naona umetoka ukasahau kunywa dawa zako leoNafurahi sana hiyo vita ianze. Haiwezekani hiki kizazi kikose historia ama kumbukumbu ya kuacha kwa vizazi vijavyo.
Tunahitaji vita hii dunia iweze kukaa sawa. Tunahitaji kukwaruzana kidogo tuchangamke.
Hii Dunia toka imeumbwa imekua ya vita, haiwezekani kuzazi chetu kikose vita, miaka 80 sasa no World war, haiwezekani.