Vita kuu ya tatu ya dunia imeshaanza, sababu na matukio tukitumia kumbukumbu ya vita kuu ya pili ya dunia

Vita kuu ya tatu ya dunia imeshaanza, sababu na matukio tukitumia kumbukumbu ya vita kuu ya pili ya dunia

Nafurahi sana hiyo vita ianze. Haiwezekani hiki kizazi kikose historia ama kumbukumbu ya kuacha kwa vizazi vijavyo.

Tunahitaji vita hii dunia iweze kukaa sawa. Tunahitaji kukwaruzana kidogo tuchangamke.

Hii Dunia toka imeumbwa imekua ya vita, haiwezekani kuzazi chetu kikose vita, miaka 80 sasa no World war, haiwezekani.
Naona umetoka ukasahau kunywa dawa zako leo
 
Back
Top Bottom