Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 16,601
- 34,760
- Thread starter
- #21
USA Yaomba po! masaa 48. Iran yakataa
Marekani imeshambulia madaraja na vyuo vikuu baada ya kumaliza shule na Hospitali.
Iran imejibu mashambulizi kwa Israel ikiteremsha makombora bila huruma!
Mifumo ya ulinzi ya Israel (David Sling, Arroe na Iron dome) imechoka '' collapse'' kiasi cha makombora ya Iran kupiga wanapochagua
Hezbollah wanatoa vipigo Lebanon kwa askari wa Israel wanaoingia kuchukua eneo la kusini.
Hezbollah wana makombora na drones jambo linalowatisha Waisrael kwa maana wanapata msaada kutoka mahali gani !Iran ipo vitani!
Houthi wanashambulia Israel kwa makombora (missiles) yenye nguvu kuliko inavyodhaniwa.
Israel imeondoka katika vita ya Iran ili iweze kukabiliana na Hezbollah na Houthi huku Iran ikiendelea kuwapiga.
Marekani imeziba ombwe la Israel kwa kupeleka askari zaidi na silaha zikiwemo ndege.
Ndege za Marekani zijulikanazo kama F-15 pamoja na WarThog na Chopper kali zimeshambiuliwa na Iran
F-15 imeanguka ndani ya Iran Rubani mmoja akiokolewa na mwingine hadi sasa hajapatikana
Helicopter zilizopigwa zimeanguka persian Gulf. Hii ndiyo habari inayozizima duniani kwasababu';
1. Rais Trump alitangaza kuangamiza jeshi la Iran , angani na majini lakini mashambulizi yanazidi.
Swali ni anga lipi au eneo gani la maji analozungumzia Trump ikiwa vikosi vyake vinapoteza ndege na meli!
2. Matukio haya yanajenga imani si kwa Iran bali mahasimu wa Marekani kwamba wanawezekana ! si kama wanavyodhaniwa kwa u-super power unaosemwa. Hilo nalo limekuwa dhalili sana kwa Marekani
Kutoka na uzito wa vita, Rais Trump ameomba kupitia Pakistan kusitisha mapigano kwa saa 48. Iran imegoma
Kugoma kwa Iran kumeishangaza dunia kwasababu anayeomba 'pause' ni Marekani kwa kutaka namna ya kumaliza vita.
Marekani inataka kumaliza vita kwasababu inakabiliwa na hali zifuatazo
1. Kuiharibu Iran kwa mabomu makubwa ukiwa ushahidi wa wao kushindwa
2. Kukimbia na kuacha uchumi wa Dunia umevurugika. Nchi za Ulaya zina mazungumzo na Iran kuhusu kupita strait of Hormuz. Marekani itapoteza ushawishi na uongozi katika Dunia.
3. Kusitisha vita ili kuikoa Israel kwasababu hakuna ulinzi uliobaki wa kuinusuru kwa kipigo inachopata
4. Kukimbia vita na 'kumtangaza'' Iran kama ''super power'' wa middle East
Kwa hali yoyote Trump ana pressure kutoka ndani na nje ya Nchi yake kuhusu vita.
Hakuna mwelekeo wa vita au sababu za kwanini wamekwenda zaidi ya kushawishiwa na Israel.
Iran ni mbabe wa vita si kwa kuishinda Marekani bali kwa mambo ya ''kudhalilisha''
1. Kupiga vifaa vya Marekani kama radr 4 kati ya 8 Duniani. Kupiga meli za Marekani USS G.Ford
2. kupia ndege zinazoaminika kutopigwa, kupiga kambi zote middle East
3. Kupiga nchi majirani wanaoibeba Marekani na Israel, nchi zaidi ya 10
3. Kumpa Israel kipigo haijawahi na haikufikiri tangu kuundwa kwake 1948