Iran imekua ikifanya mazoezi ya kijeshi ya makombora na drones kufikia wiki ya pili hadi sasa.
Duru ya Times of Israel inaeleza kuwa serikali ya Tel Aviv inalalama kuwa mazoezi haya ya Iran ni tishio kwa usalama wa Israel na inaonekana Iran amerejesha uwezo wake wa makombora zaidi ya mwanzo.
Kwa namna hii inabidi Iran ishambuliwe na kutulizwa tena uwezo wake wa kijeshi.
Waziri mkuu Benjamin Netanyahu amesema ataliwasilisha hilo Washington mnamo 29 desemba mwaka huu.
Na huwenda mwaka mpya 2026 wakapanga mashambulizi upya kwa Iran kuondoa vitisho vya kijeshi.
Je,kama ikitokea itakua vita ya muda mfupia ama muda mrefu!?