Hilo ndo jibu la swali husika?!
Mkuu naona hutizami habari.Dah, habari za huko hata hatuzielewi kwa kina zaidi ya ushabiki tu. Najiuliza, huyu Iran si kapigwa siku chache tu zilizopita Huku kipondo Cha mwisho kikitoka marekani kwa kutumia mdege wa maana uliotembea maelfu ya km bila kuongezwa mafuta Wala kutua mahala......ukapiga na kurudi Moja kwa Moja. Sasa haya makombora "zaidi ya mwanzo" kayaunda lini?!!!!
Iran alishampiga Israel mara kibao tu. Hata June alimpiga pia. Au unataka ushahidi!?Mnaota sana aisee iran ampige israel
Uvamizi wa Iraq nchini Kuwait Saddam Hussein ile vita alipigana mwenyewe.Hilo ndo jibu la swali husika?!
Ndiyo maana yake 😎.Mnaota sana aisee iran ampige israel
Crap (Garbage) ndiyo sahihi siyo CrapsCraps!!!!