City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Hizo fununu zisikusumbue mkuu.Kosugi msikilize kapteni Tesha wa Iran
Mmoja wa makamanda wa jeshi la Iran akitoa ujumbe kwa wananchi wa Iran kuingia zaidi barabarani kukomboa nchi
Mbona unaongea kinyume!?ndani ya siku 12 tu Israel iliweza kuwavuruga karibia makamanda wote wakuu wa jeshi la Iran akiwemo mkuu wa jeshi, Iran kuomba marudio ni jeuri ya kukataa kukubali uhalisia wa uwezo wa Israel.
Anayetaka vita ni Israel sio Iran.Kuna migomo na maandamano ndani ya Iran, wafanyabiashara wanaandamana sababu ya kuanguka kwa biashara. Hivyo sidhani kama wataingia kwenye hii vita kirahisi hivyo
Anayetaka vita ni Israel sio Iran.Kuna migomo na maandamano ndani ya Iran, wafanyabiashara wanaandamana sababu ya kuanguka kwa biashara. Hivyo sidhani kama wataingia kwenye hii vita kirahisi hivyo
Toka lini BUMUNDA kama wewe anajua kiingereza?Crap (Garbage) ndiyo sahihi siyo Craps
Toka lini BUMUNDA kama wewe akajua kiingereza?Crap (Garbage) ndiyo sahihi siyo Craps
Iran imekua ikifanya mazoezi ya kijeshi ya makombora na drones kufikia wiki ya pili hadi sasa.
Duru ya Times of Israel inaeleza kuwa serikali ya Tel Aviv inalalama kuwa mazoezi haya ya Iran ni tishio kwa usalama wa Israel na inaonekana Iran amerejesha uwezo wake wa makombora zaidi ya mwanzo.
Kwa namna hii inabidi Iran ishambuliwe na kutulizwa tena uwezo wake wa kijeshi.
Waziri mkuu Benjamin Netanyahu amesema ataliwasilisha hilo Washington mnamo 29 desemba mwaka huu.
Unachukulia poa sio? kuanzisha mashambulizi kwa Iran maana yake ni kupotea completely kwa taifa bandia liitwalo IsraelNa huwenda mwaka mpya 2026 wakapanga mashambulizi upya kwa Iran kuondoa vitisho vya kijeshi.
Je,kama ikitokea itakua vita ya muda mfupia ama muda mrefu!?
June pengine hawakua na sababu, Sasa hvi sababu yao ni kudorora kwa uchumi. Leo hii miji mikubwa yote kuna maandamano makubwaHizo fununu zisikusumbue mkuu.
Kama ingekua raia kutoka barabarani wangetoka June.
Nimekua nikitizama habari mara kibao raia wako nyuma ya serikali yao.