Vita mpya yanukia dhidi ya Iran. Ikitokea itakuwa ya mda mrefu au mfupi?

Vita mpya yanukia dhidi ya Iran. Ikitokea itakuwa ya mda mrefu au mfupi?

Israel na Iran wakiingia vitani tu basi Taiwan nayo inaingia vitani na China
 
Iran alishampiga Israel mara kibao tu. Hata June alimpiga pia. Au unataka ushahidi!?
Endelea kuota ndoto za Mwendawazimu. Hata kwa Magaidi wa Hamas,Hezbollah, Houth mlikuwa mnawasifia hivi hivi lakini tukiwauliza wako wapi magaidi hao? Mtaanza kubwabwaja tu.

Kwa taarifa yako Israel ni Unstoppable na Unshakeable. Iran muda si mrefu atafikiwa tu kwanza sasa hivi nyumbani kwake watu wamemchoka wanaandamana kila leo!!
 
Jambo la kushangaza Israel anataka kuzichapa na Iran ajabu lazma aombe ruhusa kwa Marekani,
Ajabu zaidi anaanzisha ugomvi ila akitandikwa analilia kulindwa
 
Jambo la kushangaza Israel anataka kuzichapa na Iran ajabu lazma aombe ruhusa kwa Marekani,
Ajabu zaidi anaanzisha ugomvi ila akitandikwa analilia kulindwa
Cha kushangaza umekuwa mjinga na mpumbavu kwa kutokuona madhara aliyoyapata katika vita vya siku 12.

Pia unashindwa kujua kuwa Israel na Marekani ni Washirika(Allies)kwa siku nyingi tu.

Umeshindwa pia kujua kuwa Kwenye vita yoyote kama nchi haiwezi kupigana peke yake hata kama ni Supapawa kama Urusi naye anasaidiwa na China,North Korea,Afrika kusini,India na nchi nyingine nyingi tu. Sasa wewe nakushangaa unapolalamika kuhusu marekani!!
 
Yaaani weee ndezi unanitusi kisa mambo ya Israel na Iran ambayo hayakuingizii hata shilingi kumi! Hebu kuwa mtu mzima ndugu, utoto waachie watotoo
Mtifuano wa Israel na Iran woote tuliuona nani yuko peke yake na nani alikua anasaidiwa
Mengine kujifurahisha tuu
 
Wewe nguruwe kabisa mimi nakuelewesha ili uelewe tena unasema nakutukana

Hebu tumia akili zako vizuri Acha kulalamika kama mtoto!!
 
Wewe nguruwe kabisa mimi nakuelewesha ili uelewe tena unasema nakutukana

Hebu tumia akili zako vizuri Acha kulalamika kama mtoto!!
Hahahahahaha msengerema kweli kiazi weee, endelea na upuuzi wako mie huwa sibishani hovyoo ndezi mmoja weee
 
Hahahahahaha msengerema kweli kiazi weee, endelea na upuuzi wako mie huwa sibishani hovyoo ndezi mmoja weee
Una bahati sana nimekujibu Nguruwe wewe mara zote mimi sihangaiki na MABUNUNDA kama wewe!!
 
Huko iran sikuya leo kulikuwa na maandamanoya kufa mtu watu hawataki utawala wa kimabavu wanasema wanawasubiri Israel waishambulie iran ili nao waanzie hapo kuuondoa utawala haramu wa ira
 
Attachments

  • IMG_4700.jpeg
    IMG_4700.jpeg
    742.8 KB · Views: 23
  • -3132709903202988710.mp4
    1.8 MB
  • -1882622989294257845.mp4
    5.1 MB
Reza Pahlavi Mwana Mfalme Kabila Ayatolah hajaipindua nchi katika ujumbe kwa waandamanaji nchini Iran:

"Ndugu zangu wajasiri,

Uwepo wako mitaani kote Iran umewasha moto wa mapinduzi ya kitaifa. Muendelezo na upanuzi wa uwepo wako, na kuchukua udhibiti wa barabara, leo ni kipaumbele chetu cha kwanza, muhimu.

Natoa wito kwa watu wa Iran wajiunge na migomo na maandamano ya nchi nzima: wafanyakazi wa serikali, wafanyakazi katika sekta ya nishati na usafirishaji, madereva wa malori, wauguzi, walimu na wasomi, mafundi na wajasiriamali, wastaafu na wale ambao wamepoteza akiba yao - kila mtu, kuungana na kujiunga na harakati hii ya kitaifa.

Kote Iran: Tehran, Karaj, Qazvin, Rasht, Sari, Gorgan, Semnan, Bojnord, Mashhad, Birjand, Zahedan, Kerman, Yazd, Shiraz, Bandar Abbas, Bushehr, Yasuj, Ahvaz, Shahrekord, Isfahan, Khorramabad, Tahriz Sanchez, Ihr Sankt, Khorramabad, Ihr. Ardabili, Zanjan, Hamedani, Arak, na Qom.

Ninawaomba Wairani walio nje ya nchi—kutoka Australia na Asia Mashariki hadi Ulaya na Amerika Kaskazini—kuongeza maradufu shughuli zenu ndani ya mfumo wa kampeni ya “Irani Iran” ili kukuza sauti ya watu wa Irani kwa vyombo vya habari, taasisi za kimataifa, serikali za kigeni na mabunge.
 
Attachments

  • IMG_4704.jpeg
    IMG_4704.jpeg
    322.6 KB · Views: 19
Bye bye utawala wa Ayatollah 2026 utakuwa mwaka ambapo mkuu wa nyoka, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, hatimaye kukatwa. Kama Wanazi, watakuwa uovu mwingine katika historia ambao ulijaribu kuwaangamiza watu wa Kiyahudi, na wakashindwa. Tutapata watu wa Irani kama mshirika. Hifadhi chapisho hili, kwa sababu tayari limetiwa saini na kuamuliwa, na litafanyika. Na Gaza, bado hatujamalizana nanyi. Subiri dawa yenu Inachemka!!!!!
 
Kwa hiyo unajifanya hujui Iran kilichompata kwa kupoteza Makamanda wake wakuu?
Ngoja nikukumbushe kidogo hapa chini
Iran kila idadi ya askari walionao wote ni makamanda ata Ayatollaa ana mrithi wake akiuliwa leo kesho atakaa mwengine na utachoka mwenyewe
 
Israel ameshawasili Florida na agenda kuu ni Gaza ceasefire na renewed strikes to Iran.
Netanyahu ameshajipanga kuishambulia upya Iran mkuu.
Kwanini anasita siku zote hizo, je wameshaboresha pia mahandaki ya kujificha chini ya ardhi?
 
Trump ni mtoto mbele ya Ayatollah Ali Khomen kuna fununu Trump anaomba apige Iran kama vile games eti Iran asirudishe ili kuonyesha dunia nzima US akisema anafanya kitu anafanya. Iran wamesema hakuna ukinipiga nakupiga
 
Iran kila idadi ya askari walionao wote ni makamanda ata Ayatollaa ana mrithi wake akiuliwa leo kesho atakaa mwengine na utachoka mwenyewe
Kinachotakiwa ni wao kuuwawa akitokea mrithi naye wembe ni uleule tu nao wauwawe.

IDF ilifanya hivyo kwa magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth na ndiyo maana leo hawafurukuti kabisa mbwa hao!!!
 
Back
Top Bottom