City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Mkuu hata mwaka jana miji mikubwa yote ikiwemo Tehran na Isfahan waliandamana. Maandamano ni jambo la kawaida litapita hilo.June pengine hawakua na sababu, Sasa hvi sababu yao ni kudorora kwa uchumi. Leo hii miji mikubwa yote kuna maandamano makubwa
Israel ameshawasili Florida na agenda kuu ni Gaza ceasefire na renewed strikes to Iran.Unachukulia poa sio? kuanzisha mashambulizi kwa Iran maana yake ni kupotea completely kwa taifa bandia liitwalo Israel
Watu wanakufa ila techonolgy inarithishwa/inafundishwaSasa haya makombora "zaidi ya mwanzo" kayaunda lini?!!!!
😀😀😀😀 ndo kitu gani hichowewe si BUMUNDA tu bali ni “TONDOGOSO” maana hujui hata maana Allies!!!
🙏🙏Watu wanakufa ila techonolgy inarithishwa/inafundishwa
😀😀😀😀 ndo kitu gani hicho
Kwa hiyo unajifanya hujui Iran kilichompata kwa kupoteza Makamanda wake wakuu?Unachukulia poa sio? kuanzisha mashambulizi kwa Iran maana yake ni kupotea completely kwa taifa bandia liitwalo Israel
Jibu hoja sio kumshambulia anaekurekebisha.Toka lini BUMUNDA kama wewe akajua kiingereza?
Jibu hoja sio kumshambulia anaekurekebisha.
Kurekebishwa sio dhambi, usiogope.
Craps sio sahihi
MABUMUNDA mkikutana mnakuwa MATONDOGOSO mnajifanya kujua kiingereza ambacho hakiwasaidii chochote!!!Jibu hoja sio kumshambulia anaekurekebisha.
Kurekebishwa sio dhambi, usiogope.
Craps sio sahihi
Suala sio kujua.MABUMUNDA mkikutana mnakuwa MATONDOGOSO mnajifanya kujua kiingereza ambacho hakiwasaidii chochote!!!
Kuna hoja gani hapo ya kujibiwa? Acha kulikomboa-Komba zuzu wewe!!!
Toka hapa unatoa HARUFU!!Suala sio kujua.
Acha uoga.
Hapana, hakuna ninaemkomboa
Uvamizi wa Iraq nchini Kuwait Saddam Hussein ile vita alipigana mwenyewe.
Vita kati ya Uturuki na wakurdi walipigana wenyewe.
Operation Cabanatuan USA alipigana peke yake dhidi ya jeshi la Japan lililoshikilia askari wake mateka Ufilipino.