Kwa uzoefu nilionao kwa Jeshi la Israel safari hii kama wataishambulia Iran basi Magaidi hao wanateseka sana maana watapigwa kipondo ambacho hawajawahi kupigwa na hilo linaweza kuwa mwisho wa utawala wa magaidi hao kuendelea.Iran imekua ikifanya mazoezi ya kijeshi ya makombora na drones kufikia wiki ya pili hadi sasa.
Duru ya Times of Israel inaeleza kuwa serikali ya Tel Aviv inalalama kuwa mazoezi haya ya Iran ni tishio kwa usalama wa Israel na inaonekana Iran amerejesha uwezo wake wa makombora zaidi ya mwanzo.
Kwa namna hii inabidi Iran ishambuliwe na kutulizwa tena uwezo wake wa kijeshi.
Waziri mkuu Benjamin Netanyahu amesema ataliwasilisha hilo Washington mnamo 29 desemba mwaka huu.
Na huwenda mwaka mpya 2026 wakapanga mashambulizi upya kwa Iran kuondoa vitisho vya kijeshi.
Je,kama ikitokea itakua vita ya muda mfupia ama muda mrefu!?
Kwanini issue za nchi yake ziamuliwe na nchi nyingine? kwanini awasilishe Washington?Waziri mkuu Benjamin Netanyahu amesema ataliwasilisha hilo Washington mnamo 29 desemba mwaka huu.
Israhell Hana ubavu wa kupigana na Irana Bila Bwana wake MarekaniKwanini issue za nchi yake ziamuliwe na nchi nyingine? kwanini awailishe Washington?
Nchi yake haina maamuzi yenyewe?
Israel ni Mshirika wa Marekani ulikuwa hulijui hilo.?Kwanini issue za nchi yake ziamuliwe na nchi nyingine? kwanini awailishe Washington?
Nchi yake haina maamuzi yenyewe?
Mshirika kwenye kitu gani?Israel ni Mshirika wa Marekani ulikuwa hulijui hilo.?
Kwahiyo anataka kwanza ahakikishiwe back up ya US sio?Israhell Hana ubavu wa kupigana na Irana Bila Bwana wake Marekani
Ilipaswa Yeye mwenyewe Aingie Kati mtu 2 waachwe kipigwe kama ni Mwaka Asitokee yeyote Kuingilia upande tuone nani ni Nani hapo.
Akili mtu wangu. Hawapigani tu kama masela wa Kongowe.Kwanini issue za nchi yake ziamuliwe na nchi nyingine? kwanini awailishe Washington?
Nchi yake haina maamuzi yenyewe?
Tumia akili zako vizuri!!Israhell Hana ubavu wa kupigana na Irana Bila Bwana wake Marekani
Ilipaswa Yeye mwenyewe Aingie Kati mtu 2 waachwe kipigwe kama ni Mwaka Asitokee yeyote Kuingilia upande tuone nani ni Nani hapo.
Akili kivipi mkuu?Akili mtu wangu. Hawapigani tu kama masela wa Kongowe.
Si back up pekeeKwahiyo anataka kwanza ahakikishiwe back up ya US sio?
Kumbe na wewe ni Libumunda hujui kitu basi soma hapo chini kama kiingereza kinakupiga chenga rudi tena nitakuelewesha tu.Mshirika kwenye kitu gani?
Kwahiyo wewe hukua na majibu mpaka ukaenda huko X kuokoteza mawazo ya wengine?Kumbe na wewe ni Libumunda hujui kitu basi soma hapo chini kama kiingereza kinakupiga chenga rudi tena nitakuelewesha tu.
View: https://x.com/ambdermer/status/1949620428118413356?s=61
View: https://x.com/judeanceo/status/1974597533965193649?s=61
Ndiyo maana nimekuita “BUMUNDA” maana nimekueleza kuwa Israel na Marekani ni washirika ukatili kukomaza fuvu nimekuletea Source zingine tena unaongeza kujitoa ufahamu basi wewe si BUMUNDA tu bali ni “TONDOGOSO” maana hujui hata maana Allies!!!Kwahiyo wewe hukua na majibu mpaka ukaenda huko X kuokoteza mawazo ya wengine?
My question is still there.
Hayo ni matamanio yako tu.Israhell Hana ubavu wa kupigana na Irana Bila Bwana wake Marekani
Ilipaswa Yeye mwenyewe Aingie Kati mtu 2 waachwe kipigwe kama ni Mwaka Asitokee yeyote Kuingilia upande tuone nani ni Nani hapo.