The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Dunia inakabiliwa na tishia la kuzuka kwa vita nyingine Kati ya China na Taiwan.
China inadai Taiwan ni sehemu yake huku Taiwan wakisema wao ni Taifa huru sio sehemu ya China.
Wakati huo huo Biden ameapa kutumia nguvu za kijeshi kuisaidia China ikiwa China itafanya uvamizi.
Mamia ya Meli vita za kisasa na ndege chapa ya F-16 zimepelekwa Taiwani huku China nayo ikijibu kwa Kurusha ndege Vita zake kwenye anga la maji ya Taiwan.
USA ameendelea kuimarisha ushirika na washkaji wake Japan, Australia, S. Korea,Indonesia wa ukanda wa Indo-Pacific Ili kuikabili China Kijeshi.
Duniani ni moto hakuna kulala yaani 🔥🔥🔥🔥