Vita nyingine kati ya China na Taiwan yanukia, USA kuingilia kati

Vita nyingine kati ya China na Taiwan yanukia, USA kuingilia kati

marekani ateweza kupigana ukraine na huku taiwani?
 
USA uzuri kajijengea washirika wengi DUNIANI . Na ametumia gharama kubwa sanaa kwa hiloo.

jiran na washndani zake kote na ushawishi akimaliza ukraine na taiwan DUNIA ITAKUWA KIGANJANI KWA USA.

NB. ROBO TATU YA UCHUMI WA DUNIA UNAMILIKIWA NA USA.

Kitu ambacho hakiwezi kutokea
 
Sawa tunajua mambo yapo hivyo ulivyosema ,sasa ndio utuwekee habari leo kama source kweli?
 
Wenye imani kali za kidini waga wanapenda sana kuleta utabiri feki ambao kamwe hautimii. Waliwahi kusema Israel itafutwa kwenye ramani ya dunia mara gaidi Osama bin Laden hajafa.

Wanapenda sana kutafuta namna ya kupunguza stress kwa hizo tabiri feki.
 
Marekani huwa kiherehere sana

Hivi akitokea mtu anaitaka hawaiii au alaska si atachizika kabisa.

Mtu anaataka eneo lake mbali huko wewe una washwa washwa

Mimi nasemaje waoigane tu tupate balance of power.

Marekani haijawahi shida vita na hawana pumzi za mda mrefu.

China akianza operation taiwan kwa muda mrefu marekani watasepa tu
Alaska ni Mali ya urusi kiasilia,ni suala la muda tuu....
 
Binafsi nasikitika kuona Japan akiwa upande wa US, vile vile South Korea kumkumbatia US na kuruhusu kukubali kugawanywa dhidi ya jirani yake North Korea. Inanikumbusha zama za West and East Germany

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
1082611-Thomas-Sankara-Quote-He-who-feeds-you-controls-you.jpg
 
Marekeni na Australia
Sera ya marekani tangu miaka ya sabini ni China moja ikiwemo hiyo Taiwan, Hong Kong na Macau, unajua kuwa Republic of China (Taiwan) ilipokonywa kiti cha UN na kupewa People Republic of China (Communist China) huku USA ikiunga mkono na kuikacha Taiwan?

Japokuwa kuna nchi kama 12 zinazoitambua Taiwan kama nchi lakini sio Australia na USA
 
Dunia inakabiliwa na tishia la kuzuka kwa vita nyingine Kati ya China na Taiwan..

China inadai Taiwan ni sehemu yake huku Taiwan wakisema wao ni Taifa huru sio sehemu ya China..

Wakati huo huo Biden ameapa kutumia nguvu za kijeshi kuisaidia China ikiwa China itafanya uvamizi..

Mamia ya Meli vita za kisasa na ndege chapa ya F-16 zimepelekwa Taiwani huku China nayo ikijibu kwa Kurusha ndege Vita zake kwenye anga la maji ya Taiwan...

USA ameendelea kuimarisha ushirika na washkaji wake Japan,Australia,S Korea,Indonesia wa ukanda wa Indo-Pacific Ili kuikabili China Kijeshi.

Duniani ni moto hakuna kulala yaani 🔥🔥🔥🔥
Wacha inyeshe tujue kunako vuja
 
Marekani huwa kiherehere sana

Hivi akitokea mtu anaitaka hawaiii au alaska si atachizika kabisa.

Mtu anaataka eneo lake mbali huko wewe una washwa washwa

Mimi nasemaje waoigane tu tupate balance of power.

Marekani haijawahi shida vita na hawana pumzi za mda mrefu.

China akianza operation taiwan kwa muda mrefu marekani watasepa tu

Mbona huyo mchina hio vita haanzi? Dunia nzima inajua Taiwan ni China isipokua USA tu. kinachomfanya China asilianzishe nini?
au unajidanganya na Magwaride ya maonyesho ya silaha wanayofanya China kila Mwaka?

USA. hapigani vita visivo na manufaa.
Save my words
 
Marekani huwa kiherehere sana

Hivi akitokea mtu anaitaka hawaiii au alaska si atachizika kabisa.

Mtu anaataka eneo lake mbali huko wewe una washwa washwa

Mimi nasemaje waoigane tu tupate balance of power.

Marekani haijawahi shida vita na hawana pumzi za mda mrefu.

China akianza operation taiwan kwa muda mrefu marekani watasepa tu
Maisha ya bongo yamekuwa magumu sana kiasi kwamba yamepelekea kutufanya tujione wajuaji kwa kila kitu kuliko hata wanaotuzidi mbali sana kwa kila kitu katika maisha.
 
Back
Top Bottom