Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kumbuka Korea anafanya mazoezi kwa ajili ya marekani pia hapo kisiwani quba wamevunga tu wanawachungulia kwa chinimarekani ateweza kupigana ukraine na huku taiwani?
Haitaki kutawaliwa na wehu 👇Taiwan nayo karibu itaingizwa chaka.
Vice versa hiyo, dunia ina fujo sababu ya Marekani
aisee China sio Russia,USA ikijaribu kuingilia itapotea,na mbaya zaid china anakubalika asian pacific maana juzi mkutano wa shanglari diaologue kiongozi wa Fiji,malaysia na indonesia pale singapore walikiri kuwa China sio tishio kwao kwahiyo hawana wasiwasi akijitanua kijeshi maana China iliwasaidia kijeshi kabla. Hivyo hapo utaona USA ina wakati mgumu kuwatafta washirika dhidi ya china maana USA hajasahau kipigo alichopata Pyongyeong na Jangsari 1959 korea,anaijua China kwasasa ime advance kijeshi na juzi kaongeza uzalishaji wa dongfeng missiles na amezindua aircraft carrier ya tatu inayosemekana kubwa kuliko zote.Na waziri wa ulinzi china alisema makombora yaliyo south china sea yatatumika km taifa lolote litaingilia mzozo wa Taiwan,Russia dhaifu kwa USA maana ilipigwa vita ya Georgia 2008,USSR ilivunjwa na Taliban kwa ufadhili wa USA,Ukraine kharkiv,lviv na kyiv Russia ameondolewa kwa ufadhili wa USA.Ila kwa China USA alipata upinzani Korea.CHINA HAISHIKIKI NDUGU ZANGUNI.Dunia inakabiliwa na tishia la kuzuka kwa vita nyingine Kati ya China na Taiwan.
China inadai Taiwan ni sehemu yake huku Taiwan wakisema wao ni Taifa huru sio sehemu ya China.
Wakati huo huo Biden ameapa kutumia nguvu za kijeshi kuisaidia China ikiwa China itafanya uvamizi.
Mamia ya Meli vita za kisasa na ndege chapa ya F-16 zimepelekwa Taiwani huku China nayo ikijibu kwa Kurusha ndege Vita zake kwenye anga la maji ya Taiwan.
USA ameendelea kuimarisha ushirika na washkaji wake Japan, Australia, S. Korea,Indonesia wa ukanda wa Indo-Pacific Ili kuikabili China Kijeshi.
Duniani ni moto hakuna kulala yaani 🔥🔥🔥🔥
Ajipeleke Taiwan aone moto👇aisee China sio Russia,USA ikijaribu kuingilia itapotea,na mbaya zaid china anakubalika asian pacific maana juzi mkutano wa shanglari diaologue kiongozi wa Fiji,malaysia na indonesia pale singapore walikiri kuwa China sio tishio kwao kwahiyo hawana wasiwasi akijitanua kijeshi maana China iliwasaidia kijeshi kabla. Hivyo hapo utaona USA ina wakati mgumu kuwatafta washirika dhidi ya china maana USA hajasahau kipigo alichopata Pyongyeong na Jangsari 1959 korea,anaijua China kwasasa ime advance kijeshi na juzi kaongeza uzalishaji wa dongfeng missiles na amezindua aircraft carrier ya tatu inayosemekana kubwa kuliko zote.Na waziri wa ulinzi china alisema makombora yaliyo south china sea yatatumika km taifa lolote litaingilia mzozo wa Taiwan,Russia dhaifu kwa USA maana ilipigwa vita ya Georgia 2008,USSR ilivunjwa na Taliban kwa ufadhili wa USA,Ukraine kharkiv,lviv na kyiv Russia ameondolewa kwa ufadhili wa USA.Ila kwa China USA alipata upinzani Korea.CHINA HAISHIKIKI NDUGU ZANGUNI.
Kaka hivi unajua China kuna visiwa pale southchina sea ni vya ufilipino vimechukuliwa na USA aliapa kuvirudisha na akashindwa,China sio Russia maana China Asia ana influence kubwa kuliko USA,pia USA na China wamewahi kupimana ubavu ktk proxy wars Korea na USA akashindwa,China sio nchi ya kitoto,USA hana ubavu kwa CHINA tuache ushabiki.Mwisho ht hiyo RUSSIA kipindi vita za Ukraine zinaanza EU ilimuomba China asiiunge mkono RUSSIA kijeshi jiulize kwanini waliiomba badala ya kuikataza.Ajipeleke Taiwan aone moto
Wakaivamie waache kubweka bweka hao UMBWAManeno ya Mkuu wa Majenerali wa Marekani [emoji116]
mchina unakuta kaiba technology za kijeshi zote kazireverse engineer [emoji23]Kaka hivi unajua China kuna visiwa pale southchina sea ni vya ufilipino vimechukuliwa na USA aliapa kuvirudisha na akashindwa,China sio Russia maana China Asia ana influence kubwa kuliko USA,pia USA na China wamewahi kupimana ubavu ktk proxy wars Korea na USA akashindwa,China sio nchi ya kitoto,USA hana ubavu kwa CHINA tuache ushabiki.Mwisho ht hiyo RUSSIA kipindi vita za Ukraine zinaanza EU ilimuomba China asiiunge mkono RUSSIA kijeshi jiulize kwanini waliiomba badala ya kuikataza.
Halafu ikawaje !?Mkuu USA hawana pumzi ya vita vya muda mrefu?
Vietnam alikaa muda gani?
Afghastan alikaa muda gani?
Iraq?
Muue [emoji28][emoji28]Duuuuhhh
Kweli check amani ya Iraq, Libya na Afghanistan ilivyoletwa na Marekani.
Amani ya kutosha
Hawa jielewi waleBinafsi nasikitika kuona Japan akiwa upande wa US, vile vile South Korea kumkumbatia US na kuruhusu kukubali kugawanywa dhidi ya jirani yake North Korea. Inanikumbusha zama za West and East Germany
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Taiwan na Japan nguvu moja 👇Ila kumbuka Korea anafanya mazoezi kwa ajili ya marekani pia hapo kisiwani quba wamevunga tu wanawachungulia kwa chini
US kawekeza nguvu kubwa Taiwan,hivyo visiwa vilikuwa na mgogoro kitambo sana na China kampora Ufilipino..Kaka hivi unajua China kuna visiwa pale southchina sea ni vya ufilipino vimechukuliwa na USA aliapa kuvirudisha na akashindwa,China sio Russia maana China Asia ana influence kubwa kuliko USA,pia USA na China wamewahi kupimana ubavu ktk proxy wars Korea na USA akashindwa,China sio nchi ya kitoto,USA hana ubavu kwa CHINA tuache ushabiki.Mwisho ht hiyo RUSSIA kipindi vita za Ukraine zinaanza EU ilimuomba China asiiunge mkono RUSSIA kijeshi jiulize kwanini waliiomba badala ya kuikataza.