Vita nyingine kati ya China na Taiwan yanukia, USA kuingilia kati

marekani ateweza kupigana ukraine na huku taiwani?
 
Kitu ambacho hakiwezi kutokea
 
Sawa tunajua mambo yapo hivyo ulivyosema ,sasa ndio utuwekee habari leo kama source kweli?
 
Wenye imani kali za kidini waga wanapenda sana kuleta utabiri feki ambao kamwe hautimii. Waliwahi kusema Israel itafutwa kwenye ramani ya dunia mara gaidi Osama bin Laden hajafa.

Wanapenda sana kutafuta namna ya kupunguza stress kwa hizo tabiri feki.
 
Alaska ni Mali ya urusi kiasilia,ni suala la muda tuu....
 
Binafsi nasikitika kuona Japan akiwa upande wa US, vile vile South Korea kumkumbatia US na kuruhusu kukubali kugawanywa dhidi ya jirani yake North Korea. Inanikumbusha zama za West and East Germany

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Marekeni na Australia
Sera ya marekani tangu miaka ya sabini ni China moja ikiwemo hiyo Taiwan, Hong Kong na Macau, unajua kuwa Republic of China (Taiwan) ilipokonywa kiti cha UN na kupewa People Republic of China (Communist China) huku USA ikiunga mkono na kuikacha Taiwan?

Japokuwa kuna nchi kama 12 zinazoitambua Taiwan kama nchi lakini sio Australia na USA
 
Wacha inyeshe tujue kunako vuja
 

Mbona huyo mchina hio vita haanzi? Dunia nzima inajua Taiwan ni China isipokua USA tu. kinachomfanya China asilianzishe nini?
au unajidanganya na Magwaride ya maonyesho ya silaha wanayofanya China kila Mwaka?

USA. hapigani vita visivo na manufaa.
Save my words
 
Maisha ya bongo yamekuwa magumu sana kiasi kwamba yamepelekea kutufanya tujione wajuaji kwa kila kitu kuliko hata wanaotuzidi mbali sana kwa kila kitu katika maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…