Vita nyingine kati ya China na Taiwan yanukia, USA kuingilia kati

Kunazidi kucha πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220602-093957.png
    100.9 KB · Views: 17
  • Screenshot_20220601-162119.png
    21.1 KB · Views: 21
Mbona mods siwaelewi? Kwenye maelezo yangu nili attach nukuu za Twitter kutoka viongozi wa China na America kusapoti bandiko sasa mumetoa Ili iwe nini hasa?

Mnaanza kuboa Sana na uhariri wenu wa kindezi..
 
aisee China sio Russia,USA ikijaribu kuingilia itapotea,na mbaya zaid china anakubalika asian pacific maana juzi mkutano wa shanglari diaologue kiongozi wa Fiji,malaysia na indonesia pale singapore walikiri kuwa China sio tishio kwao kwahiyo hawana wasiwasi akijitanua kijeshi maana China iliwasaidia kijeshi kabla. Hivyo hapo utaona USA ina wakati mgumu kuwatafta washirika dhidi ya china maana USA hajasahau kipigo alichopata Pyongyeong na Jangsari 1959 korea,anaijua China kwasasa ime advance kijeshi na juzi kaongeza uzalishaji wa dongfeng missiles na amezindua aircraft carrier ya tatu inayosemekana kubwa kuliko zote.Na waziri wa ulinzi china alisema makombora yaliyo south china sea yatatumika km taifa lolote litaingilia mzozo wa Taiwan,Russia dhaifu kwa USA maana ilipigwa vita ya Georgia 2008,USSR ilivunjwa na Taliban kwa ufadhili wa USA,Ukraine kharkiv,lviv na kyiv Russia ameondolewa kwa ufadhili wa USA.Ila kwa China USA alipata upinzani Korea.CHINA HAISHIKIKI NDUGU ZANGUNI.
 
Ajipeleke Taiwan aone motoπŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220902-081000.png
    45.9 KB · Views: 1
Ajipeleke Taiwan aone moto
Kaka hivi unajua China kuna visiwa pale southchina sea ni vya ufilipino vimechukuliwa na USA aliapa kuvirudisha na akashindwa,China sio Russia maana China Asia ana influence kubwa kuliko USA,pia USA na China wamewahi kupimana ubavu ktk proxy wars Korea na USA akashindwa,China sio nchi ya kitoto,USA hana ubavu kwa CHINA tuache ushabiki.Mwisho ht hiyo RUSSIA kipindi vita za Ukraine zinaanza EU ilimuomba China asiiunge mkono RUSSIA kijeshi jiulize kwanini waliiomba badala ya kuikataza.
 
Maneno ya Mkuu wa Majenerali wa Marekani πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220724-205150.png
    136.4 KB · Views: 6
mchina unakuta kaiba technology za kijeshi zote kazireverse engineer [emoji23]
 
Mkuu USA hawana pumzi ya vita vya muda mrefu?

Vietnam alikaa muda gani?
Afghastan alikaa muda gani?
Iraq?
Halafu ikawaje !?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]

Yanini kupigana vita Ambayo unajua kuwa hauwezi kushinda !?

Wasted of resources [emoji706][emoji706][emoji706]
 
US kawekeza nguvu kubwa Taiwan,hivyo visiwa vilikuwa na mgogoro kitambo sana na China kampora Ufilipino..

Ila Taiwan athubutu kuingia πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220729-105958.png
    82.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220729-105806.png
    100 KB · Views: 5
Combat exercises by Taiwan Military πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220729-105828.png
    62.1 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220729-110041.png
    95.4 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…